Zaidi ya sisi Watanzania kuwa wajinga na wapumbavu;
Ama sisi ni vichaa au tunaongozwa na vichaa...!
" Kuna vichwa 13 vya treni vimeshushwa hapa lakini havijulikani ni vya nani, tena inasemekana ni vibovu na TRL wamesema hawajaagiza na wala hawajasaini mkataba wowote. Hamkuuliza vya nani baada ya meli kuondoka ndio mnauliza, siku nyingine si watakuja kushusha hata na vifaru au makontena ya sumu," alisema Rais John Pombe Magufuli
![]()
Leo tunaambiwa tumeamua kuvinunua hivyo vichwa vilivyodaiwa vibovu na visivyo na mwenyewe!
Hebu turudi nyuma kidogo...
Wakati vichwa vinakanwa, nembo ya TRL inaonekana wazi ubavuni.
Turudi nyuma zaidi...
Shirika la Reli Tanzania (TRL) iliwahi kudaiwa kununua vichwa hivyo kupitia mkataba kati yake na kampuni ya EMD ya Marekani na utengenezwaji kufanywa na kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.
Maswali...Nachokaa...ujanja kupata!
- Tunavinunua tena kutoka kwa nani?
- Tutanunua hivi vichwa mara ngapi?

Sizonje ni mgonjwa wala hii sio bure, lazima atakuwa anaumwa tu!Tumevinunua kwa watu wasiojulikana...
Nakumbuka tuliambiwa mheshimiwa aliviokota hivi vichwa bandarini...
Ana bahati sana ya kuokota vitu vyenye thamani kubwaSizonje ni mgonjwa wala hii sio bure, lazima atakuwa anaumwa tu!
Zaidi ya sisi Watanzania kuwa wajinga na wapumbavu;
Ama sisi ni vichaa au tunaongozwa na vichaa...!
" Kuna vichwa 13 vya treni vimeshushwa hapa lakini havijulikani ni vya nani, tena inasemekana ni vibovu na TRL wamesema hawajaagiza na wala hawajasaini mkataba wowote. Hamkuuliza vya nani baada ya meli kuondoka ndio mnauliza, siku nyingine si watakuja kushusha hata na vifaru au makontena ya sumu," alisema Rais John Pombe Magufuli
![]()
Leo tunaambiwa tumeamua kuvinunua hivyo vichwa vilivyodaiwa vibovu na visivyo na mwenyewe!
Hebu turudi nyuma kidogo...
Wakati vichwa vinakanwa, nembo ya TRL inaonekana wazi ubavuni.
Turudi nyuma zaidi...
Shirika la Reli Tanzania (TRL) iliwahi kudaiwa kununua vichwa hivyo kupitia mkataba kati yake na kampuni ya EMD ya Marekani na utengenezwaji kufanywa na kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.
Maswali...Nachokaa...ujanja kupata!
- Tunavinunua tena kutoka kwa nani?
- Tutanunua hivi vichwa mara ngapi?
Ngoja niwashtue baadhi yao... [B]jingalao[/B] , [B]johnthebaptist[/B], [B]Nyani Ngabu[/B], [B]MsemajiUkweli[/B], [B]YEHODAYA[/B], [B]Samweli mathayo[/B], [B]thetallest[/B], [B]Magonjwa Mtambuka[/B], [B]Maswa 1[/B], [B]MISULI[/B], [B]Son of Gamb[/B]a, [B]kabombe[/B] , [B]Mwigulu Nchemba[/B], [B]yamindinda[/B] na kadhalika.Wale vijana wa Lumumba wenye akili madodoki huwezi waona hapa,maana hata kutetea watashindwa serikali ya waongo waliotukuka
Mjinga hajui.. Akielimishwa akaelimika ujinga humtoka na kuwa mwerevu.... Mpumbavu ni mjinga aliyepata maarifa lakini hayakumsaidia
Mbona tupoNgoja niwashtue baadhi yao... jingalao , johnthebaptist, Nyani Ngabu, MsemajiUkweli, YEHODAYA, Samweli mathayo, thetallest, Magonjwa Mtambuka, Maswa 1, MISULI, Son of Gamba, kabombe , Mwigulu Nchemba, yamindinda na kadhalika.
Unaonaje kama ukija na tungo nyingine?hii haitauza kwa kweli maana inakinzana kabisa na ili ya mkuluMbona tupo
Hivyo vichwa vililetwa na dalali ambaye aliongeza cha juu dola milioni moja kwa kila kichwa akishirikiana na wazawa maruhuni.Magufuli akagundua janja ya nyani akasema namtaka mwenye hivi vichwa,Dalali alikuwa kachonga document za uongo za kufoji kuonyesha yeye ndio mumiliki.Alipoona moto umewaka akaingia mitini na zile document za kufoji akaona zitamfunga huyo akasepa,Baada ya muda yule mwenye vichwa halali na document halali akawa anafuatilia vichwa vyangu vipi naona kimya malipo sipati na dalali akipigiwa simu hapatikani.Akaja mwenyewe wakaongea na serikali akiwa na documents zote halali na bei halali serikali ikakubali kununua
Poleni Watanzania...huyu [B]YEHODAYA[/B] ni mmoja wa wasemaji waandamizi wa serikali ya Magufuli na hii taarifa anayotoa ina baraka za ofisi kuu. Awali tuliambiwa kamati ya wataalamu iliundwa kuchunguza sakata zima la vichwa vibovu visivyo na mwenyewe! Na sasa serikali inatoa bilioni 2.4 kununua vichwa vile vile ambavyo vilinunuliwa awali na TRL. Asante sana [B]YEHODAYA[/B] kwa ufafanuzi mzuri uliotukuka, CCM oyee! Rais wa wanyonge oyee!Mbona tupo
Hivyo vichwa vililetwa na dalali ambaye aliongeza cha juu dola milioni moja kwa kila kichwa akishirikiana na wazawa maruhuni.Magufuli akagundua janja ya nyani akasema namtaka mwenye hivi vichwa,Dalali alikuwa kachonga document za uongo za kufoji kuonyesha yeye ndio mumiliki.Alipoona moto umewaka akaingia mitini na zile document za kufoji akaona zitamfunga huyo akasepa,Baada ya muda yule mwenye vichwa halali na document halali akawa anafuatilia vichwa vyangu vipi naona kimya malipo sipati na dalali akipigiwa simu hapatikani.Akaja mwenyewe wakaongea na serikali akiwa na documents zote halali na bei halali serikali ikakubali kununua
YEHODAYA said:Usijali hata the hague wanipeleke kichwa cha lisu kikikatwa I don't mind najitoa muhanga heri mtu moja afe Kuliko taifa liangamie magufuli Kill lisu ruksa kunisingizia Mimi. Taifa ni LA muhimu kuendelea kuwepo kuliko kichwa cha Lisu Kill him now if you can.
Tunaingizwa mjini wakati tunaishi mjini.Ni kweli kabisa viongo wa nchi ya kusadikika ni maiti.Walitangaza kwa mbwembwe eti Mzee Kijana kaokota vichwa vya tren mwenye navyo hajulikani na leo wanamlipa asiyejulikana