Je, sisi ni wajinga au wapumbavu?

Je, sisi ni wajinga au wapumbavu?

Spectator

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2017
Posts
225
Reaction score
509
c6e6572d9641163bb2dc8aa0e0d6118a.jpg
 
Hivi wamiliki wameshajulikana!!? Au ndio malipo "hewa" wanataka kuyafanya.
 
Hivi si iliundwa tume ya wataalamu kuchunguza mmiliki na ubora wa hayo mabehewa? Au haiaminiwi tena
 
Hivi si iliundwa tume ya wataalamu kuchunguza mmiliki na ubora wa hayo mabehewa? Au haiaminiwi tena
Kwa utapeli wa serikali hizi unaweza kukuta mwanatume nae ni.mmiliki wa vichwa hivyo. Rais kashjndwa kuongoza nchi. Kila analofanya kesho au keshokutwa anaumbuka na kuonesha wazi udhaifu wake.

Nakumbuka alivyokuwa akilipukwa kuhusu mabehewa haya yasiyo na mmiliki. Sasa kapatikana amemfanyaje?
 
Hii nchi mpaka atakapo rudi Masia kuja kutookoa na hili janga la mtindio wa bongo za viongoz wetu
 
Zaidi ya sisi Watanzania kuwa wajinga na wapumbavu;
Ama sisi ni vichaa au tunaongozwa na vichaa...!




" Kuna vichwa 13 vya treni vimeshushwa hapa lakini havijulikani ni vya nani, tena inasemekana ni vibovu na TRL wamesema hawajaagiza na wala hawajasaini mkataba wowote. Hamkuuliza vya nani baada ya meli kuondoka ndio mnauliza, siku nyingine si watakuja kushusha hata na vifaru au makontena ya sumu," alisema Rais John Pombe Magufuli




Leo tunaambiwa tumeamua kuvinunua hivyo vichwa vilivyodaiwa vibovu na visivyo na mwenyewe!


Hebu turudi nyuma kidogo...



Wakati vichwa vinakanwa, nembo ya TRL inaonekana wazi ubavuni.

Turudi nyuma zaidi...


Shirika la Reli Tanzania (TRL) iliwahi kudaiwa kununua vichwa hivyo kupitia mkataba kati yake na kampuni ya EMD ya Marekani na utengenezwaji kufanywa na kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.


Maswali...
  1. Tunavinunua tena kutoka kwa nani?
  2. Tutanunua hivi vichwa mara ngapi?
Nachokaa...ujanja kupata!
 
Ni kweli kabisa viongo wa nchi ya kusadikika ni maiti.Walitangaza kwa mbwembwe eti Mzee Kijana kaokota vichwa vya tren mwenye navyo hajulikani na leo wanamlipa asiyejulikana
 
CCM kwa kupitia Bw Mkapa walitamka kuwa wapinzani nchini TZ ndio wapumbavu na tena malofa..
 
Back
Top Bottom