Je, sindano ya PPF imepigwa marufuku?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, mie nilipokuwa napatwa na tonsil miaka ya 80 mpaka 90 nilikuwa nadingwa sindano ya PPF (Procaine benzylpenicillin) kwa siku tana.

Dawa hii ilikuwa inanitibu haswa kwani siku ya mwanzo nilikuwa nikitokwa na jasho jingi na baada ya hapo maumivu yanapotea.

Miaka ya 2000 tumeanza kutumia vidonge vya PenV na sasa mara 'capsules'.
Swali langu, je matibabu ya sindano ya PPF yamesitiswa hapa nchini?
 
Kiukweli sijui hilo ila ungeuliza kama maduka au pharmacy ipo ili ujue upatikanaje wake sokoni huenda haipo
 
Yalikua matumuzi mabaya ya dawa.Wengi wanaprescribe tu bila kuzingatia severity ya tatizo na sometimes ni biashara.
 
Back
Top Bottom