Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

Mkuu 1: hatumii majina haya kwa mapenzi yake isipokuwa mwenyezi mungu ndiye aliyempa majina hayo kwa sisi hata akikutokea hapo sasa hivi atakwambia jina langu ni Lucifer au jina lingine lolote tu litakalo wakilisha uzuri wa kukulaghai hatumii yeye isipokua haya waliambiwa manabii na The Creator

2: hizi namba 666 ni namba ambayo inatambulika kama namba ya shetani au muhuri wa shetani hii ina maana pana kwa kila mtu lakini ukweli kuhusu namba hii unapatikana kwenye kutabu kilicho jumlisha ufunguo au uwazi au kile kinachoitwa utandawazi ili uweze kufunguliwa njia za maono ya shetani basi hii ni moja kati ya code za mwanzo mwanzo kabisa za shetani vyovyote mtu anapotumia basi huanza kumchua shetani kwa undani na kupata matunda yake,

3: namba 74 inaunganisha namba 7 na namba 4 ambazo jumla ya namba hizi ni 11, 7 ni namba ya mwisho katika kuumbwa kila kitu na 4 ni namba ya mwisho katika kugawanywa pande 4 za dunia lakini pia namba 11 ni namba inayohusiana na mlango wa jamii nzima hivyo kwa summary hii ndogo utafahamu kwamba unapozungumzia namba 74 basi unamzungumzia malaika daraja ya 74 ambaye huyu anadeal na kukufanyia uhisi dunia nzima ipo kiganjani kwako hapo hapo ufahamu ya kwamba Shetani kila ametengeneza mifano mingi sana ya ulimwengu wa kimungu na kibinadamu imefikia sehemu hata kujua vitu vingine watu wanavipuuza kuhofia kumuasi muumba wao,

4: namba 9 ni namba ya safari ya maisha ya viumbe vyote,

5: Shetani ni shapeshifter so anaweza kuwa na macho hata 90 mkuu achilia mbali 1,

6: bermuda triangle hakuna ukweli kwamba anakaa shetani kwa sababu yanayotokea pale yanaweza kutokea popote yakiamulika na utawala wa shetani, shetani anavituo kila center za bahari mkuu kwa sababu kama mungu angesema shetani yupo Bermuda Triangle basi angehama ili kuweza kuwapotosha watu lakini yeye yupo center ya bahari basi tambua bahari zote center kuna kituo chake, fikiria kama ungepewa mamlaka aliyopewa yeye ungekaa sehemu moja?

Ni maelezo na mafundisho yanayohitaji uchambuzi na ufafanuzi mpana ambayo huwezi kuyasimplified kwenye artical ndogo mkuu

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika uumbaji wa viumbe hai ukiachana na wanyama tuwajuao wa polini wakuliwa na wasio liwa, MUNGU alifanya uumbaji mwingi yaani ni uumbaji wa sita ni Adam na kabla ya Adam aliumba Jini(MAJINI). uumbaji wenyewe ni huu
hinn, binn, timm , rimm , jann, jinn na Adam(human being). Katika viumbe hao isipokuwa binadamu tu ambae hakuumbwa kwa Moto. Hinn na binn walifanana zaidi na jini utofauti wao jini aliubmwa kwa moto usio na smoke(smokeless fire) WAKATI wengine waliubwa kwa moto wenye kuunguza( Scorching fire) na jini aliwaangamiza hinn na binn na ndio maana katika kuran wameelezwa jini ni viumbe waliofanya maovu zaidi katika uumbaji. Hii ilipelekea MUNGU kutoa amri ya kuangamiza majini wote. Na katika uangamizaji huo aliachwa Ibilis ambae nae alikuwa na kiburi na kupiga na Jeshi la Mungu. Inaelezwa Hinn na binn walimsapoti Ibilis katika vita hiyo.
source Wikipedia
Go and search Hinn for more details
 
Kwahiyo jinn ibilis aliwauwa supporters wake kwenye vita dhidi ya Mungu na malaika zake?
Na ushasema Mungu aliwaba hao viumbe sasa mbona wauliza tena ibilis ametokea ukoo gani tena?! Labda mimi sijakuelewa hii elimu mpya unayoileta hapa
 
 
 
*OFA OFA OFA *
IPHONE 5s
16Gb
Brand new
Brand new accesories
300k
All colours


Samsung A7 (2015)
Brand new
Brand new accesories
320k
All colors


Samsung galaxy J7(2015)
Brand new
Brand new accesories
All colors


Call
0716119347

Free delivery



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si umejibiwa sliminess hakuzaliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…