Je sheria zinazobana maslai na haki ya watanzania zimefutwa au kufanyiwa marekebisho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sheria zinazobana maslai na haki ya watanzania zimefutwa au kufanyiwa marekebisho?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ffoas, Mar 3, 2011.

 1. ffoas

  ffoas Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni wazi bunge letu tukufu tulilolipa dhamana yakutuwakilisha linafanya kazi nzuri,lakini je imesimamia,inasimamia sheria zinazobana haki na maslai ya watanzania, kwa njia ya marekebisho ya vifungu au kufutwa?
   
Loading...