Je, Serikali inaweza kunipa ruhusa nilime bangi 'FOR EXPORT ONLY'?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,743
10,073
Habari za alasiri hii wadau?

Nimeona hii fursa, japo kilimo cha bangi ni haramu hapa kwetu, lakini naona kuna nchi nyingi sasa ikiwemo Israel, Jamaica, Argentina, Australia, Canada, Cambodia, Belgium, Costa Rica, Croatia, Marekani na nyinginezo nyingi wamehalalisha matumizi ya Bangi.

Nataka kuomba kibali serikalini iniruhusu nilime hili zao halafu niwalipe kodi yao kisha iwe for export only kwenda nchi husika tu.

Je wadau, nifanye nini ili niruhusiwe?

Nimeona hii ni fursa pekee ya kujiongezea kipato kwangu na kwa taifa kwa ujumla!

Naomba ushauri na njia kuntu za kuishawishi serikali hii ya Mh. Magu.

Karibuni sana!
 
Back
Top Bottom