Nani alikudanganya?
Magereza-waulize kuhusu remove orders.
Walimu-waulize kuhusu hela za mitihani kila wiki.
JWTZ-waulize kipindi cha kutafuta recruits wapya.
HApo na wewe unatoa rushwa polisi kisheria hawaruhusiwi kupokea kesi za madai na wameshaonywa mara nyingi ila ndio njia yao ya kula rushwa, mashauri ya madai ni mahakama tu ndio inaruhusiwa