Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,549
- 49,425
Na Rais analijua hilo?Tz hii waajiriwa wasio omba na kupokea rushwa ni magereza walimu na jwt basi
Kwaiyo umeona polic wanaokula mabilion uwaoni aoNimezungumza na watu mbalimbali waliowahi kushikwa na polisi kwa makosa mbalimbali karibu wote wanasema walitoka polisi baada ya kutoa fedha.
Wengine waliachiwa kabla ya kufikishwa kituoni baada ya kutoa pesa.
Wengine waliachiwa baada ya kutoa pesa ambayo polisi waliziita pesa ya kumdhamini mtuhumiwa huku kesi ikipelekwa mahakamani.
Polisi wa barabarani almaarufu trafiki wamejiwekea kiasi rasmi. Ilikuwa kila daladala wakilipiga mkono lazima idondoke sh.200, baada ya mafuta kupanda serikali ilitangaza bei mpya za nauli nao trafiki wakaongeza 50% ikawa sh. 3000.
Wanaichukua bila kificho, gari ikisimama konda ndiye hushuka na kumpa 3000 trafiki safari inaendelea.
Je, serikali hii tukufu imewapa polisi ruksa ya kula rushwa?
Ni tatizo la miaka mingi.
We acha tu...Uhuru umezidiInasikitisha mno.
Ni utaratibu kama ulivyo utaratibu mwingine tu😭😭😭
Naunga mkono hojaAcha wale Mbona Wakubwa wao wanakula mamilioni na mabilioni na hakuna kitu wanafanywa!!
Nimezungumza na watu mbalimbali waliowahi kushikwa na polisi kwa makosa mbalimbali karibu wote wanasema walitoka polisi baada ya kutoa fedha.
Wengine waliachiwa kabla ya kufikishwa kituoni baada ya kutoa pesa.
Wengine waliachiwa baada ya kutoa pesa ambayo polisi waliziita pesa ya kumdhamini mtuhumiwa huku kesi ikipelekwa mahakamani.
Polisi wa barabarani almaarufu trafiki wamejiwekea kiasi rasmi. Ilikuwa kila daladala wakilipiga mkono lazima idondoke sh.200, baada ya mafuta kupanda serikali ilitangaza bei mpya za nauli nao trafiki wakaongeza 50% ikawa sh. 3000.
Wanaichukua bila kificho, gari ikisimama konda ndiye hushuka na kumpa 3000 trafiki safari inaendelea.
Je, serikali hii tukufu imewapa polisi ruksa ya kula rushwa?
Ni tatizo la miaka mingi.
Ulikwisha ambiwa hela ya brashi sasa wewe bado unataka nini?Nimezungumza na watu mbalimbali waliowahi kushikwa na polisi kwa makosa mbalimbali karibu wote wanasema walitoka polisi baada ya kutoa fedha.
Wengine waliachiwa kabla ya kufikishwa kituoni baada ya kutoa pesa.
Wengine waliachiwa baada ya kutoa pesa ambayo polisi waliziita pesa ya kumdhamini mtuhumiwa huku kesi ikipelekwa mahakamani.
Polisi wa barabarani almaarufu trafiki wamejiwekea kiasi rasmi. Ilikuwa kila daladala wakilipiga mkono lazima idondoke sh.200, baada ya mafuta kupanda serikali ilitangaza bei mpya za nauli nao trafiki wakaongeza 50% ikawa sh. 3000.
Wanaichukua bila kificho, gari ikisimama konda ndiye hushuka na kumpa 3000 trafiki safari inaendelea.
Je, serikali hii tukufu imewapa polisi ruksa ya kula rushwa?
Ni tatizo la miaka mingi.
Kwahiyo katiba inaruhusu watu wenye mishahara midogo kula rushwa?Marupurupu yao hayo[emoji3][emoji3]. Mshahara wao ni kiduchu afu mazingira ya kazi magumu lazima wajiongeze. Anyway KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE
Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app