Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Jifunze kuandika mkuu."Askali" ndio nini? Tangu wakusafishe mtaro na akali imekuruka.Askali polisi hata asipolipwa pensheni,Ni sawa TU
Hakika, Vihela vya mwisho wa mwezi ni shida na kupumbazwa akili.Weee jamaa kila mwez unalalamika kuusu mshahara kama vip njoo ulimwengu wa kupambana uachane na vihela vya mwisho wa mwez
"Mshahara wa bure"Jpm pamoja kulikuwa na ujenzi wa miundo mbinu nchi nzima pamoja na project nying lakini mlilipwa mshahara wenu mapema tena walimu ambao ndio watumishi wengi wa umma kuliko vitengo vingine walikula mshahara wa bure kipindi cha Corona
Sasa hyu mama yenu atawakomesha ...
Walikuwa wanafanya kazi gani wakt mashule yamefungwa? Mungu mwenyewe anasema hasiyefanya kazi na hasile"Mshahara wa bure"
Ni upi huo?
Kipind cha tatu cha awamu ya 4Hiki ni kipindi cha pili cha awamu ya 4
Saf kabsa mpambanajiHakika, Vihela vya mwisho wa mwezi ni shida na kupumbazwa akili.
Ukiviangalia hivyo huendelei kabisa.
Mi kwa siku moja nakunywa pombe ya zaidi ya laki moja. Hiyo ni pombe tu.
Hiyo ni baada ya kutafuta mapato ya ziada.
Mfanyakazi unashindwa kunywa pombe za japo elfu 20 kwa siku, tambua kwamba huishughulishi akili yako.
Umeridhika na mshahala na utakufa masikini.