Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

Mimi nianahasira na Soko la MBAAZI wewe unaleta habari za Magari na Plate number.................Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr...................................!!!!!
 
Hapo inaonekana ni Zanzibar kwa hivyo vi vespa tu.
Makonda alikuwepo zanzibar kikazi,kwa mujibu wa protokali anaruhusiwa kutumia gari ya serikali ya mapinduzi au ya muungano kwa shughuli za kikazi,na tiliona akipewa hundi ya milioni 50 kujenga ofisi za waalimu Dar
Unaweza kusema ni protokali gani hiyo inayompa hizo privileges mkuu wa mkoa katika nchi nyingine?
Na pili, vipi mpango wa kubana matumizi? Maana kutumia gari luxurious kama hilo kwenye nchi ambayo bado wanafunzi wanasomea chini ya mwembe ni kufuru.
 
209b66574b1b21485b9d14315f94bdcf.jpg


Hivi..ni kwamba hao wakuu wengine hawana magari yao binafsi ya kufanya hayo?

Leo hii Halima Dendegu, Jordan Rugimbana ama Anna Mghwira akifanya haya kwenye magari yao binafsi (Passo, Rav 4 au Kluger) watasalimika?

Zzk aliposema "Malimbukeni na Washamba" aliwahusu watu wa "Jamii hii"?

Tangu usichana wao na maisha yao yote Fenella Mukangara na Janeth Mbene wamekulia kwenye familia zilizo bora (Ni moja ya wanasiasa/ viongozi waliotoka familia za ushuani kabla na hata baada ya kuolewa) walikua wakiendesha na kutumia magari ya kifahari! Lakini walipopata dhamana ama nafasi za uongozi hawaku wahi wala kuthubutu kufanya mbwembwe hizi tunazo zishuhudia kipindi hiki!

Ni mara baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi jimbo la Kibamba (Fenella) amekua akiendesha Range Rover hadharani tena yeye mwenyewe na hata baada ya kukatwa ubunge EAC..

Ama ndio wanaiga lifestyle ya sampuli za viongozi wa Equtorial Guinnea, Congo Brazaville, Cameroon na hata Gambia? Name it!

Si kwamba namuonea wivu! LA hasha..kuna kitu kinakosekana hasa cha uongozi!

Unatoa taswira gani kwa mwananchi anae tembea kwa miguu kwa kukosa nauli toka msasani mpaka mbezi beach kwenda lindoni ?

This is not fair jamani..uswahili huu ukiufanya kimya kimya nani atakuuliza?

Tuna mijitu mishamba ya hovyo na milimbukeni inayojali social status bila kujali hali na maisha ya wanyonge!

Eti tuwaombee..! Tuwaombee nini? Kuomba omba bila kua specific ni uwendawazimu..mnachosha mnakera na kukatisha tamaa!
 
Samahani kaka/dada, hapo sijaelewa, amekosa nin? Samahani kwa usumbufu naomba unieleweshe kwa kifupi
 
Kama Ni kweli hiyo gari Ni ya rc wa Dar Ni mambo ya ovyo. Gari binafsi unabandika nembo ya gorv. Kama Ni ya umma mbona rc wangu Hana.
 
Mbona km hio plate no imekua edited?ukizoom tu utaona wazi kua bumber, show ya mbele haipo alligned na plate no?ila povu linavyotoka ss...
 
Mkuu usihangaike kuwaelewesha wasioelewa hata picha, wamejiandaa kupinga kabla hata hujaandika hii thread.
 
Kama ni zawadi serikari ianze utaratibu wa kuchukua zawadi zozote zinazozidi sh/m1. Hizi rushwa sasa zinaamia upande wa pili lengo ni kwamba viongozi wasifaidike nazo. Watu awawezi kuwa wanatoa zawadi bila ya Wao kutafuta kitu.
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

View attachment 611861

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?
Daaaa nowmaaaa sanaaaaa...huo mkwaju speed 240....yani shidaaaa
 
Umeielewa thread? Kuna sehemu nimekataa kutumia usafiri wa gari au nimehoji kutumia RC DSM kwenye gari hiyo? BTW ulishapataga ajira maana ulikuwa hukauki kule Jukwa la Kazi
Haaaaa haaaaa haaa huyo Ana stress mbaya, namjua huyo haaaaa
 
Samahani kaka/dada, hapo sijaelewa, amekosa nin? Samahani kwa usumbufu naomba unieleweshe kwa kifupi
Hiyo plate no inatumika kwa magari ya serikali tu ambayo wakuu wa mikoa wamepewa ambayo ni Toyota Landcruiser V8, hiyo ni gari private.
Which means ametoa plate no kwenye Landcruiser ya serikali kaifunga kwenye gari lake la private.
Hilo ni kosa.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom