Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

Ukiangalia plate number ya pembeni unagundua hii sio picha ya Tanzania na hiyo range imefanyiwa mock up ya hiyo plate number.
 
Msiumize vichwa hapo ni Zanzibar na hiyo RC DSM haina bendera wala mlingoti wake.
 
Hiyo plate number imepachikwa na wazandiki.
Ili iweje? Kisha jiulize makonda alienda pemba kama nani? Maana kama sikosei/ nipo tayar kusahihishwa tamisemi sio mambo ya muungano. So alienda kama mtalii wa kawaida au vipi? Ile hundi aliyopewa ni kwajili ya nn! Mana kama sikosei zanzibar wanahitaji msaada wetu kuliko sie. Siwaadharau watu wa unguja ndugu
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

View attachment 611861

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?
use of public positions for personal gains that is corruption....
 
Ili iweje? Kisha jiulize makonda alienda pemba kama nani? Maana kama sikosei/ nipo tayar kusahihishwa tamisemi sio mambo ya muungano. So alienda kama mtalii wa kawaida au vipi? Ile hundi aliyopewa ni kwajili ya nn! Mana kama sikosei zanzibar wanahitaji msaada wetu kuliko sie. Siwaadharau watu wa unguja ndugu
Alienda kuandaa mauaji na utekaji mengine. Yeye ndio maliyamungu anaeteketeza watu. Ila ipo siku yake anamchezea mungu kwa kukia makanisani na misikitini kwa kumdanganya mungu. Adhabu yake hatakaa haisahau maishani mwake
 
Back
Top Bottom