Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

naomba kuuliza mnaojua magari, kwani hii range rover brand new na land cruiser vx v8 mma kabisa ipi bei ghali zaidi????
 
Mbona km hio plate no imekua edited?ukizoom tu utaona wazi kua bumber, show ya mbele haipo alligned na plate no?ila povu linavyotoka ss...
Mkuu kuna video humu itafute ujiridhishe
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

View attachment 611861

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?
halafu bado Wakatoliki bado wanamwona Pengo ni kiongozi wao wa kiroho! kiroho kipi kisichoona uovu kama huu? kiongozi wa kiroho asiyeshitushwa na tukio la Lissu kupigwa risasi - hicho ndo kiroho cha "mungu" yupi?

Wakatoliki tujitathimini!

W
 
Wakuu wa Mikoa hununuliwa magari ya kazi na Makatibu Tawala wa Mikoa yao yaani kutoka kasma(vote)ya mkoa husika ndiyo maana magari ya Wakuu wa Mikoa hayafanani tofauti na magari ya Wakuu wa Wilaya ambayo hununuliwa kutoka kasma ya Ofisi ya Waziri Mkuu na utakuta mara nyingi hufanana ikitegemeana yalinunuliwa katika kipindi gani
 
..duh bashite amebadili tena gari ya RC...maana mwanzo alikua anatumia gari aina ya lexus aliyompora mtuhumiwa wa madawa ya kulevya..naona sasa amebadili tena baada ya kusemwa....na hili atakuwa amempora mtu pia...
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

View attachment 611861

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?
Kuna uwezekano aliitumia gari hii alipokuwa Zbar kwenye sherehe za kuzima mwenge! Hapo inaonekana ni Zbar...
 
Unaweza kusema ni protokali gani hiyo inayompa hizo privileges mkuu wa mkoa katika nchi nyingine?
Na pili, vipi mpango wa kubana matumizi? Maana kutumia gari luxurious kama hilo kwenye nchi ambayo bado wanafunzi wanasomea chini ya mwembe ni kufuru.
Yeye kapewa atumie tu,wewe inakuwasha nini wakati pilipili haikuhusu
 
..duh bashite amebadili tena gari ya RC...maana mwanzo alikua anatumia gari aina ya lexus aliyompora mtuhumiwa wa madawa ya kulevya..naona sasa amebadili tena baada ya kusemwa....na hili atakuwa amempora mtu pia...

Unaikumbuka hii?

Range Rover.jpg.gallery.jpg
 
The mere fact kila mtu alipoona gari lenye plate number za RC aijalishi liko wapi mtu kwa kwanza kufikiriwa ni makonda the kid has acquired taste in a very short space of time. Sijawahi kumuona Mwigulu wala Makamba in designer wear Makonda tayari that is becoming the norm.
 
Emotions siku zote huathiri uwezo wa kufikiri, kwani ameonekana na hiyo gari au ndo mazoea ya kuhukumu watu? Amini nawaambia kila anaeamini kile macho yanachokiona ni mpumbavu coz vingine ni ulaghai
Angalia video iliyorushwa ndo upate ukweli
 
Sina uhakika na trim level ya land cruiser zinazotumiwa na viongozi, ila najua Land Cruiser ikiwa fully loaded with options, haipishani saana bei na Range Rover.
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

View attachment 611861

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?
Hiyo edited mkuu ,jarib kuangaria uwiano wa hiyo plate no~ na position ilipo ,nafas ya kuwekea plate number kwenye hiyo gari ni ndefu na nyembamba
 
Back
Top Bottom