Je SCANIA linawezaje kufail break?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,682
2,000
Madereva na wataalam wa magari makubwa naombeni mtazamo wenu juu ya uwezekano wa roli ku feli breki.
Kwa uelewa wangu, roli huwa lina mifumo ya breki mitatu.
1. Breki ya kawaida ya mguu,
2. Hand break
3. Retarder (engine stopper)
4. Gia pia ni breki. Ukiweka gia mpaka ukafika namba moja, gari inaweza punguza mwendo mpaka spidi kumi. Na ikifikia spidi hiyo ukazimia gari kwenye gia linaweza likasimama.
Je kuna uwezekano wa breki hizi zote kufeli kwa wakati mmoja au tu ni kupanic kwa dereva?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom