Je Sasa Ni Rasmi JK kamtosa Membe? Tusubiri A Surprise Candidate wa CCM?



Ni kweli mkuu bado saana lakini Kikwete anaona ndio salama kwake ili kuepusha vita- akimuunga mkono Lowasa ujue Membe na kina Sita wataleta tafrani sana na vile vile akimuunga Membe,timu ya Lowasa itavuruga-kwa ufupi unafiki wa jeykey ndio unamtafuna na hakuna kipindi kigumu kama 2015 kwa CCM kuchagua mgombea wa uraisi!!
 

Back to school, inaelekea English composition au fasihi ya kiswahili na vipindi vinginevyo vinavyotufunza mashuleni namna ya kuandika tung0 we ulikuwa unalala usingizi kama Steven Wasira afanyavyo bungeni bungeni.
 
Mnajisumbua bure the suprise candidate wa CCM 2015 ni Stephen Wassira. Hizi taarifa nyeti.

Naona MWIGULU NCHEMBA naye anayo nafsi ya urais...lakini real issue hapa ni kwamba taasisi ya urais imepoteza kabisa maana yake. kwa kuwa tumepoteza kabisa maadili, hatuna itikadi, tumebaki sasa kuulenga urais tu, kama njia ya kupata mamlaka ya kutengeneza ulaji. kila mtu anataka urais. kana kwamba urais ni mchezo fulani hivi.

URAIS NI UTUMWA! haupo tena huru. wewe umejitoa uhai wako na maisha yako yote kwa ajili ya kutumikia nchi. YOU ARE THE NUMBER ONE SLAVE OF THE NATION. THE WHOLE NATION IS UNDER YOUR WATCH. 24/7. na rais siriasi kwa kweli wala hana raha. muda woote anapambana na majukumu na matatizo. inashangaza sana jinsi urais ulivyokuwa dili.
 
Jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la Pembeni!
Semeni yote!, tajeni wote!, Rais wa Tanzania 2015 ni "the one and only!"
yule ambaye jina lake limeandikwa na Mungu katika kitabu cha marais wa dunia hii!
Na huyo sii mwingine bali ni ....
Pasco
 

leo ungefaa kuchinjwa kwa kumshikisha Mungu katika kazi chafu hii
 

Pinda is another headache....alichagua kwenda kwenye graduation ya binti yake Siku ambayo bunge lilitakiwa kutoa Azimio Juu ya Msiba wa Mandela na kusababisha bunge kubakia na MAWAZIRI wanne.......,MAWAZIRI wengine walichagua kwenda Moro au Mikoa mingine kula "raha"
 

Travelling ndio habari ya mujini mkuu!!!!!
 
Back to school, inaelekea English composition au fasihi ya kiswahili na vipindi vinginevyo vinavyotufunza mashuleni namna ya kuandika tung0 we ulikuwa unalala usingizi kama Steven Wasira afanyavyo bungeni bungeni.

Candid Scope inawezekana umenizidii Elimu ..Kama uwazo degree Zaidi ya nne.....lakini kikubwa sio Elimu...ni busara hapa...tusiamini Sana hivi vyeti especially Elimu yetu Hii ya mitihani......
Hoja iPo mzani jadili ...Sasa hapo umejadili nini ?
 


Pasco sasa unapotoka na kuleta umajununi,kitabu kipi hicho kilichoandikwa na Mungu??! Kikwete nae aliandikwa humo??!!

No wonder hujamalizia kumuandika Jina kwa ulivyo na ghiliba kwani upo kote kote!! Kwa jiwe lako la uashi,haitotokea akaja CHADEMA akakubalika kugombea uraisi,labda afanye endorsement ndani ya CCM au CHADEMA!!
 
Candid Scope inawezekana umenizidii Elimu ..Kama uwazo degree Zaidi ya nne.....lakini kikubwa sio Elimu...ni busara hapa...tusiamini Sana hivi vyeti especially Elimu yetu Hii ya mitihani......
Hoja iPo mzani jadili ...Sasa hapo umejadili nini ?

Ignorance of the learned mkuu!!!!!
Civilized stigmatization!!!!!!

Atajifunza kwa mazingira tu
 

Matumizi ya herufi kubwa na ndogo katika post hii yanakaribisha fikra kwamba mwandishi alishachoshwa na umande katika jitihada zake za awali za kufuta ujinga.

Kadhalika kichwa cha habari kinauliza swali lakini habari aliyoiandika haina swali na badala yake inampongeza JK. Shule shule shule!!
 
visasi mbona vingi tu vya kulipiza.

unakumbuka issue ya RICHMOND.

HALAFU ,VIP KUHUSU BABU SEYA MBONA UNATOA KIBANZI CHA MWENZIO WAKATI KWAKO NI BORITI??

JK HATUKUELEWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…