Je Sasa Ni Rasmi JK kamtosa Membe? Tusubiri A Surprise Candidate wa CCM?

Rais MWANAMKE Tanzania at least bado for now...Hii nafasi ya Spika...ni nafasi kubwa mno kushkwa na MWANAMKE ..tutaifanyia kwanza Tathmini..kuamua Kama tuwape Nchi...tutaangaliaa uongozi wa Joyce Banda..na Hellen Sirleef ..na utamaduni wetu hasa mfumo dume...namna ya kuutokkomeza...kabla ya kuamua..pia tutaangalia

Kimataifa tumukuwa na asha rose migiro na Getrude Mongella ...tutaangalia uendaji wao....pia tutaangalia Kama wanawake wapo tayari kuwaamini wenzao

..nenda kalale uote tena ndoto nyingine. na nyingine na nyingine, kila siku uote urais urais urais!!!! muda wote akili yako na wajinga km wewe wanawaza urais tu..
 
Pesa zipo ila umekosa pesa za michongo ndo maana unapiga kelele.

Huyu ni attention seeker!

Wengine wapo busy kukana kwamba bado awajahamua au awana nia ya kugombea urais. Yeye yupo busy kijipisha pisha.

Kumbuka "Kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza"
 
sura ya mtu siyo sekta. Mmekuwa mkitazama sana wanasiasa. Sasa kumbukeni na sekta nyingine zilizosahaulika.
tunahitaji sana rais mwenye sura ngumu, labda atasaidia kutisha wachina maana wamezidi:shocked::shocked:
 
Bahati mbaya uwezo wa kufikiri sio starehe tena siku hizi, tena ni kipaji toka kwa mungu, ule ujanja janja wa kufikri kupitia shule na elimu sasa umekoma shule na elimu zimechuja. Kuna tofauti kubwa kati ya kisasi na hukumu. Hukumu hutolewa kwa makosa uliyofanya, jambo ili hayupo atakayekwepa. Mungu mwenyewe atatoa hukumu, visasi vinaozesha wanamziki baba na watoto jela, haitakuwa rahisi.
 
1 . Kumkana Membe na Kauli zake Za EAC na coalition of the willing ...na kutoa Kauli mpya iliyoonesha kuwa Membe ni waziri anayetoaa misimamo ya Nchi bila kufikiri,kushirikisha ...Rais au baraza...ilikuwa pia aibu mkizingatia Kauli Za hapo nyuma Juu ya Malawi
2. Jana pale uwanjani aliongelea ...onyo kwa mtu yeyote anayegombea kwa nia ya kulipizaa kisasa ( ni wazi mgombea aliyetoa Kauli ya Kisasi ni Membe peke yake ......aliposema anao " MAADII KUMI NA MOJA" ambao waombe asioteshwe( urais) ..watahama Nchi..........

1. Una uhakika kuwa hili la EAC amemkana Membe au walikubaliana Membe aseme asiyopaswa kusema Rais kutuma ujumbe halafu yeye aje kuongea ki-Rais kwa busara nyingi huku akijua ujumbe umefika kwa wahusika

2. Kwani hao maadui 11 ni maadui wa Membe au Maadui wa Watanzania kutokana na kuwaibia kuanzia dili la Rada hadi kashfa ya EPA masuala ambayo alikuwa akiyaongelea siku ile alipotamka kuwa wajiandae kukimbia nchi?
 
1. Una uhakika kuwa hili la EAC amemkana Membe au walikubaliana Membe aseme asiyopaswa kusema Rais kutuma ujumbe halafu yeye aje kuongea ki-Rais kwa busara nyingi huku akijua ujumbe umefika kwa wahusika

2. Kwani hao maadui 11 ni maadui wa Membe au Maadui wa Watanzania kutokana na kuwaibia kuanzia dili la Rada hadi kashfa ya EPA masuala ambayo alikuwa akiyaongelea siku ile alipotamka kuwa wajiandae kukimbia nchi?

Conspiracy Unayoijenga inawezekana kwenye negotiation tactics lakini inaitwa storming ...ila inaweza kutumiwa na wajumbe ambao hawana dhamana ya Moja kwa Moja...ili kutoleta sintofahamu pale msimamo wa Kweli unapptolewa....mfano...maneno Mbofu Mbofu yangeweza kuporomoshwa na maafisa wasemaji wa Serikali au pengine MAWAZIRI wasio na dhamana ya Moja kwa Moja ....

Unappongelea maadui wamaotokana na ufisadi ni Zaidi ya Hao ..pengine kosa alilofanya ni ku personalize hao maadui
 
Ukisoma alama za nyakati, Kikwete ameshaanza kupanga karata zake: rais ajeye atakuwa mwanamke. Majina mbali mbali yatapigiwa dana dana lakini mwisho wa siku ni mwanamke ambaye mkuu ameshaanza kumbeba na kumpeleka golini.
Yetu macho.
 
Back
Top Bottom