Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

omaey ashiru

Member
Joined
Dec 8, 2020
Posts
42
Reaction score
33
Habari wana JF nataka kununua Samsung Galaxy S7 edge mwaka huu, kwani Bado ina ubora uleule wa 2016?

Naombeni ushauri wenu


IMG-20201109-WA0001.jpg
 
2020 unataka kununua simu ya 2016??? Mabadiliko makubwa sana ya technolojia yamefanyika ndani ya miaka mi4..nakushaur jichange ununue simu ya kisasa i mean matoleo ya hivi karibuni
 
Nunua tu as long as ipo Ndani ya budget.

Mbona watu wananunua iPhone ya 2016 (iPhone 7) wengine ata iPhone ya 2014 (iPhone 6) na wanajiona wajanja.
Uko sahihi,maswala ya update kuna watu wengi wanatumia hawajui hata umuhimu wake,nunua tu mzee mradi tu unapata unachokihitaji,mbona kuna watu wengi tu wananunua gari za 2003 na wanasafiri bila shida!jikune pale mkono wako unapoishia...
 
Back
Top Bottom