George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,021
- 4,913
Hakika. Uingereza pagumu sana.Tuendelee kumwombea Mtanzania mwenzetu Samatta, maana atakuwa anapitia changamoto kubwa kisaikolojia. Anahitaji support kubwa sana.
Ni vyema ukazingatia na umri ambao Adama Traore alikuwa nao kipindi anapita hapo.Adama Traore alipitia hapo akitokea Barcelona na hakufanikiwa hapo A.V na akaonekana hafai baada ya kushuhudia wakishuka daraja lakini leo hii timu kubwa zinamtolea macho sana kwa moto anaouwasha pale Wolverhampton.
Sent using mazonge yamezidi
Msamehe anatokea nchi jiraniNenda wewe kacheze basi.
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Nenda wewe kacheze basi.
Mtu ambaye hajacheza Mpira hawezi kukuelewa.Mashabiki wengi mnapo kuwa mnaangalia soccer mnaona ni kitu fulani rahisi sana lakini wakikwambia uingie uende kucheza ujionee uhalisia utaukubali mziki, utajifunza kumuheshimu mwana kandanda yeyote unaye muona,