Je, samaki ni kibudu?


Sasa wewe ni kaffiri unajuaje habari ya kuchinja!?......unajua haram na halali!?
Nikuulize: Samaki anayo shingo !?
 
umewatajia nini waislamu kwa jambo baya la kula kibudu wakati inaonesha wewe sio muislamu!

Tafadhali sana Ndumbayeye naomba urudie kusoma kwa makini nilichoandika
Lakini vilevile nimeifanyia masahihisho post yangu na kuondoa neno uislam kwakuwa naona kuna baadhi yenu mnataka kwa makusudi kabisa kupotosha
 
Last edited by a moderator:

Kumbuka samaki siyo mnyama japo ni kiumbe hai.
Rejea darasa la sita kama sikosei kuna
1. Mamalia (wanyama kama vile binadamu, ng'ombe, popo, panya, mbuzi nk)
2. Ndege (Kuku, bata, njiwa nk)
3. Reptelia (Mjusi, mamba, kenge nk)
4. Amfibia (chura, kinyonga nk)
5. Samaki (perege, sato, kibua, dagaa nk)
6. Ongeza
 

OK asante sana lakini ni kiumbe hai kinacholiwa na binadamu
 
Kitu mhimu ni , Energy, protein na vinginevyo katika hicho unachokula. Kusema ni kibudu inaonyesha low profile knowledge of food.

Jifunze chakula mwili wako unahitaji. Hata kama nyoka ana protein kula.

Walisema Dini, Imani na chakula?
Baki na kibudu, wakati unakula mishikaki na nyamafu kila siku.
As long as wewe sio mwenye butcher na mfugaji.
Kula protein bila hofu.
 
Khaa!! Profesa mshana jr, Suala la kuchinja si suala la imani, ni suala la kisayansi. 90% ya viini vya magonjwa ya wanyama yapo katika damu hivyo mnyama anapochinjwa kiasi kikubwa cha damu hutoka hivyo hii hupunguza viini vya magonjwa yao. Samaki wengi wana kiasi kidogo sana cha damu hasa wale wenye nyama nyeupe hivyo wao ni salama sana kuliwa bila kuchinjwa. Jaribu kufanya utafiti kidogo tafuta kipande cha nyama kutoka kwa aina moja ya mnyama au hata kuku. Mmoja achinjwe (atolewe damu) na mwingine asichinjwe utaona tofauti kubwa ya ladha. MaGT wa zamani walikuwa wanaweka utaratibu fulani bila ya kutoa sababu lakini ukichunguza taratibu zote ni sayansi tu :shock:
 
Samaki ni kibudu ingefaa na kupendeza kama ndugu zetu wangesusa kumtafuna kama Mbuzi Katoliki hali ingekuwa nzuri sana hasa katika eneo la bei.

Kwani mbuzi katoloki ni kibudu?
 

Asante Dr Rohombaya kwa ufafanuzi, hii post nimeileta ili tuijadili kwa pamoja baada ya ndugu yangu lazalaza kuniuliza kwenye post yangu moja iliyochinjiwa baharini
Hata original post yenyewe imekuwa modified sijui kwanini
 
Last edited by a moderator:
Kibudu ni mnyama anayeliwa bila kutolewa damu. Lakini kama kabla hajaliwa alipimwa na kuonekana hana viini vyovyote vinavyoweza kusababisha ugonjwa kwa mlaji basi na aliwe tu. lakini ukitaka kuepuka matatizo hayo kirahisi basi mnyama/ndege achinjwe kama na hili utaona ni shida kwako basi kula wanyama/ndege mwenye damu kidogo kama samaki. Na kama ukitaka kuepuka matatizo kabisa basi usile nyama yoyote ile. Protein haipo kwenye nyama pekee, unaweza kuipata kwenye mayai au hata maharage ..
 


Na Kambare na Mkunga wanakua kundi gani kaka???
 
Maji ya bahar ni twahara na ni halali kula mfu(kiumbe knachoishi humo)wake.
Tumeruhusiwa kula kiumbe knachoish baharin ata ukikuta kmekufa ndan au nje ya bahar.


Vipi samaki wa maji baridi, kama wa mto Ruaha na rufiji kule!!!!!! Hata nyoka maji nao fresh????
 
hebu chukua samaki,kamata kisu chako,gonga dua,halafu mchinje,halafu ujitathmini mwenyewe ulichokifanya kama ni kitendo cha mtu mwenye akili timamu!!!
 
Sasa wewe ni kaffiri unajuaje habari ya kuchinja!?......unajua haram na halali!?
Nikuulize: Samaki anayo shingo !?

Huo wrote no ujinga wa ninadamu kujitungia taratibu zao kisha lumsingizia Mungu. Mungu Hana mda na wewe inakula nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…