Je, Salum Mwalim kaifanyia nini cha kuigwa CHADEMA?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,038
2,000
Kama Naibu Katibu Mkuu-Visiwani wa CHADEMA Salum Mwalimu atakumbukwa kwa lipi hasa katika uongozi na cheo chake hiko?

Je, kuna jambo lolote jipya alilowahi kuiletea CHADEMA mara baada ya kuachana na utangazaji wa habari na kujiunga rasmi CHADEMA?

Je, kuna ushauri wowote wa maana na mkubwa aliowahi kuutoa kwa CHADEMA na ukawa na manufaa au upekee maalumu kwa chama?

Je, kwa kipindi chake cha uongozi katika CHADEMA kuna anything positive katika kuiimarisha CHADEMA huko visiwani?

Je, CHADEMA Visiwani ina ofisi mpya au za maana zilizoanzishwa na huyu Naibu Katibu Mkuu? Je kuna programme za maendeleo ya chama na wanachama huko Tanzania visiwani?

Karibuni Makamanda!
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,593
2,000
jingalao

Wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Taja kiongozi mmoja aliyeko CHADEMA ambaye unawona ni mtu wa mfano.

Taja mtu mmoja aliyewahi kuwa CHADEMA ambaye uliwahi kumsifia kwamba ni "bomba", akiwa kule kule CHADEMA kabla hajahama kwenda ccm ama kukataliwa na cHADEMA.

Vinginvyo shetani anabaki kuwa mashetani tu! Kazi yake ni kuchinja, kuiba na kuharibu, na siku zote haachani na hila!
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,038
2,000
Wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Nani aliyeko CHADEMa ambaye unaweza kumsifia na kwa lipi?
Chadema inatumia Ruzuku zitokanazo na kodi yetu.
Kwa hiyo mambo ya Chadema ni mambo ya Umma wa watanzania.

Hata hivyo ni vyema kuwasaidia makamanda namna bora za kufikiri na kupembua mambo ndani ya Chama chao.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,038
2,000
Vp Komredi! Jamaa anatishia usalama wa jimbo nn hapo Kinondoni?
Kabla ya kumuongelea katika angle ya wadhfa mkubwa tumuongelee kwenye cheo chake cha sasa.

Njoo na mambo aliyowafanyia wanachadema kwanza!
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,593
2,000
Chadema inatumia Ruzuku zitokanazo na kodi yetu.
Kwa hiyo mambo ya Chadema ni mambo ya Umma wa watanzania.

Hata hivyo ni vyema kuwasaidia makamanda namna bora za kufikiri na kupembua mambo ndani ya Chama chao.
Mbona unatoa mate na Ruzuku za CHADEMA, huongelei Audit Reports za CCM?

Huoni haya kuonyesha unafiki hadharani wa kuulizia matumizi ya CHaDEMA, bila kuhoji fedha mnazonunua wapinzani kwamba ni kodi za wanachi?

Unapata wapi ujasiri wa kuonyesha unajali ustawi wa CHADEMA huku macho yako hayaoni namna mnavyowauwa wapinzani (siyo upinzani), wasomi wenye hoja za kujenga bila kjali kwamba mnamwaga damu ya "raslimali muhimu za taifa".

Kwa nini usihoji ccm imefanya nini cha mfano kw ataifa?

Kubagua watu kwa itikadi za vyama? kuua watu, kukaa ubavuni mwa maneno ya Mwenyekiti, kuwanyima ama kuzuia maendeleo katika majimba yanoongozwa na upinzani huku mkikusanya kodi zao?
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,038
2,000
Mtulia lazima aigwe na wenye njaa kuuza utu sio jambo dogo
Yaani hata nyie makamanda na makarai ya Zege mnashindwa kuelezea alichofanya Mwalimu ndabi ya Chadema kwa nafasi yake kubwa aliyonayo huko Chamani.
How do you expect wananchi wa Kinondoni wamuamini kufanya jambo ?
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,667
2,000
Yaani hata nyie makamanda na makarai ya Zege mnashindwa kuelezea alichofanya Mwalimu ndabi ya Chadema kwa nafasi yake kubwa aliyonayo huko Chamani.
How do you expect wananchi wa Kinondoni wamuamini kufanya jambo ?
Mtulia kawafanyia nini ccm?
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,038
2,000
Mbona unatoa mate na Ruzuku za CHADEMA, huongelei Audit Reports za CCM?

Huoni haya kuonyesha unafiki hadharani wa kuulizia matumizi ya CHaDEMA, bila kuhoji fedha mnazonunua wapinzani kwamba ni kodi za wanachi?

Unapata wapi ujasiri wa kuonyesha unajali ustawi wa CHADEMA huku macho yako hayaoni namna mnavyowauwa wapinzani (siyo upinzani), wasomi wenye hoja za kujenga bila kjali kwamba mnamwaga damu ya "raslimali muhimu za taifa".

Kwa nini usihoji ccm imefanya nini cha mfano kw ataifa?

Kubagua watu kwa itikadi za vyama? kuua watu, kukaa ubavuni mwa maneno ya Mwenyekiti, kuwanyima ama kuzuia maendeleo katika majimba yanoongozwa na upinzani huku mkikusanya kodi zao?
Niletee something tangible ...niletee matokeo ya kiwango cha juu ya ndugu mtangazaji salumu alichokifanya ndani ya Chadema visiwani so far!!
Ni swali rahisi sana kujibu kama kuna mafanikio aliyoachieve.
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,593
2,000
Niletee something tangible ...niletee matokeo ya kiwango cha juu ya ndugu mtangazaji salumu alichokifanya ndani ya Chadema visiwani so far!!
Ni swali rahisi sana kujibu kama kuna mafanikio aliyoachieve.
Jibu swali. Kama wewe ni bashite kwa heri!.
 
yeddy guyy

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
632
500
Kama Naibu Katibu Mkuu-Visiwani wa CHADEMA Salum Mwalimu atakumbukwa kwa lipi hasa katika uongozi na cheo chake hiko?

Je kuna jambo lolote jipya alilowahi kuiletea CHADEMA mara baada ya kuachana na utangazaji wa habari na kujiunga rasmi CHADEMA?

Je kuna ushauri wowote wa maana na mkubwa aliowahi kuutoa kwa CHADEMA na ukawa na manufaa au upekee maalumu kwa chama?

Je kwa kipindi chake cha uongozi katika CHADEMA kuna anything positive katika kuiimarisha CHADEMA huko visiwani?

Je CHADEMA Visiwani ina ofisi mpya au za maana zilizoanzishwa na huyu Naibu Katibu Mkuu? Je kuna programme za maendeleo ya chama na wanachama huko Tanzania visiwani?

Karibuni Makamanda!
Polepole+kinana+bulembo=salum mwalimu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom