jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Kama Naibu Katibu Mkuu-Visiwani wa CHADEMA Salum Mwalimu atakumbukwa kwa lipi hasa katika uongozi na cheo chake hiko?
Je, kuna jambo lolote jipya alilowahi kuiletea CHADEMA mara baada ya kuachana na utangazaji wa habari na kujiunga rasmi CHADEMA?
Je, kuna ushauri wowote wa maana na mkubwa aliowahi kuutoa kwa CHADEMA na ukawa na manufaa au upekee maalumu kwa chama?
Je, kwa kipindi chake cha uongozi katika CHADEMA kuna anything positive katika kuiimarisha CHADEMA huko visiwani?
Je, CHADEMA Visiwani ina ofisi mpya au za maana zilizoanzishwa na huyu Naibu Katibu Mkuu? Je kuna programme za maendeleo ya chama na wanachama huko Tanzania visiwani?
Karibuni Makamanda!