Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

Yule ni mfanya biashara, kazi yake ni kuzishika Serikali za nchi husika na kufanya biashara ziende bila vikwazo... . kitu achambo tayari kasha-win... Siasa za majungu majungu ( gutter politics) kashasema hazitaki tena.
 
Akiwa Hayawani ( Mpumbavu ) ataitikia huo Wito ila akiwa Mwerevu ( Kipanga ) hawezi Kumkubalia zaidi tu ya Kumshukuru kwa Kumuamini.
 
RA ni moja ya watu ambao ni smart. Anaichukulia very serious Tanzania. Anajua ataendelea kuchumua as long as he keeps his profile low and with no squabbles with politicians or the existing political and leadership system.

Namkubali sana huyu mwanawane.
Huyu mwamba ni mfano halisi wa mtu smart kichwani.

Alivyopiga hatua mpaka kuwa mshika maburungutu ya ccm wayback ilikuwa move smart sana.
 
Jasusi kama RA ataachaje kuwa smart. Ona alichofanya na hisa zake pale Vodacom.
 
Hisa za Vodacom zilikuwa za CCM. Alirudi akawarudishia wenyewe hela zao. Kuna mdogo wako nyara za serikali zilitaka kumtoa roho. Ilibidi aje kujisalimisha
 
Huyu mwamba ni mfano halisi wa mtu smart kichwani.

Alivyopiga hatua mpaka kuwa mshika maburungutu ya ccm wayback ilikuwa move smart sana.

Love or hate him. He is brilliant. But, we should never allow him to chose our future leaders or himself becoming a leader. Let him just do busy. He can sell all of us in a fraction of a second
 
Ni kweli kabisa.wa mabasi,viwanda sio mbunge.sema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.huyu mbunge ni mmoja wa wabunge wachachewanaojali sana wanyonge ila wapinzani wake wamembambikia ili atukanwe na kudhalilishwa.na kaonyesha nidhamu ya hali ya juu kwa kunyamaza kimya kwa kuwa aliyemsema ni mkubwa wake.Hongera mbunge Abood.
 
Back
Top Bottom