TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,873
- 11,249
Yule jamaa abaki nyuma ya pazia tuIkumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.
Maendeleo hayana vyama!