BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Vijana kukosa ajira sasa kumeibuka wimbi la utapeli ambao unawatapeli wahusika wanaotafuta ajira, mfano hai latest ni hawa wanajiita RIFA CONSULTANTS CO LTD.
Na pia ndugu zangu kua makini pia hata na rafiki zako ambao wanajifanya kutaka kukusidia upate kaz analukutanisha na mtu ambae anakuambia kua ni rafiki yake then anakuhakikishia kua seheem flan pana nafas ya kazi na utaipata.
Technique wanayotumia ni kua hauombwi hela kubwa, anaanza kukuomba "katen" ka soda, we si utaona sawa tu, baada ya wiki anaomba "ka" elfu 20 ya kumpa HR...baada ya wiki tena anaomba "ka" elfu 30 ya kumpa eti bosi,
Kuna ndugu yangu ametapeliwa elfu 60 kwa mbinu hii hii, at the end of the day hamna kazi wala nini, anapigwa kalenda na sms za kipuuzi za uongo uongo, mara niko na mabos wako, mara kesho mamb fresh, mara uhakika wiki ijayo uvae vizuri, wanamtaja hata mungu, eti Mungu mwema, utanenepa, ...and all sort of rubbish texts ili tu kukupumbaza.
Ndugu yang alivoenda kumuambia rafiki yake kua vp mbona sielewi, rafiki anaruka kimanga eti na yeye anajidai kushangaa.
Jamani kueni makini hata huyo unaejidai rafiki walaa sio rafiki, anaeweza kukusaidia saiv labda mpenz wako ama kama umeoa ama kuolewa bas huyo mwenza wako au wazaz wako PERIOUD!!!
Huyo aliemtapeli ndug yangu ntaleta picha yake hapa na namba pia ili umma ujue na hio sehemu aliyopanga amtafutie kazi ili kama kuna mtu anafanya kaz hapo wajarib kuwasiliana na uongozi kuhusu huyu mtu pengine ameshafanya hivo kwa wengi.