Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?


Mwanasiasa wa kweli ni yupi huyo? Upinzani una tatizo gani? Hebu tuweke wazi

CCM taifa kubwa kivipi? Au ni taifa kubwa la Mafisadi, yaani Chama Cha Mafisadi(CCM).

Sijakuelewa bado Gembe

Ina maana Kubenea alimchafua Lowassa ili baadae aje amsafishe?

Asha
 


Asha,
hebu slow down abit. Tushakubaliana kuwa hapa JF sisi ndio tunaoset the agenda na wala si kufuata haya magazeti ambayo kwa kiasi kikubwa huja humu kuchukua data.

Sasa nashauri kikosi cha CSI cha JF kiingie kazini kituletee ushahidi wa kutosha na hapo ndipo tutajua kama tunawez akuconclusde kama RIDHWANI ni fisadi au la

personally siwapendi watawala wetu lakini mara nyingi huwa ninaambatanisha ushahidi na kama sina huwa nasema wazi kuwa sina ushahidi
 
Ndugu Asha

Mwansiasa wa kweli ni Mtanzania Masikini asiye jua chochote kuhusu siri ya Upinzani.

Wewe uanikiri ni kwanini JK alienda kumpa Pole Kubenea??Unadahani kwanini Jk kampa Mwandosya UWaziri wa Maji??Je unafikiri Dr. Mwakyembe yuko Kambi gani??Fikiria mara mbile na tatu zaidi then utajua what is goingon inside this country


Full Usanii,Tunahitaji watu wa type ya Martha Karua ili kuleta MAendeleo na sio watu wanochukua sera za Ujerumani kuleta hapa Bongo mathalani Chadema.

nimekaa na kufikiria bado naona CCM ni chama Bora,na Azimio jipya la wiki ijayo la Butiama litairusha CCM ya zamani.Miiko ya Uongozi inarudishwa

Fungua macho na uone??
 

Kikosi chako GT kilitupeleka mashakani kuhusu Membe. Chonde usitupeleke tena machakani ukatuletea embe kuhusu Ridh1. Nimeuliza maswali mengi mpaka sasa hayajajibiwa

Asha
 
Kikosi chako GT kilitupeleka mashakani kuhusu Membe. Chonde usitupeleke tena machakani ukatuletea embe kuhusu Ridh1. Nimeuliza maswali mengi mpaka sasa hayajajibiwa

Asha



Well, kama utairudia ile thread basi utaona posti yangu ya mwisho nilisema nini. Maswali yenu yote nilishayajibu au pace ya JF inakuacha kama ndugu yetu YEBO YEBO
 

Haya unayoandika yanahusiana vipi na Ridhiwani kuwa fisadi?
 


Kwiiiiiiiiiiiiiiiii nicheke miye Asha

Azimio Jipya- chini ya Katibu Mkuu yule yule Makamba wa Manji. Mwenyekiti ni Kikwete aliyejua kusema "NO". Makamu Mwenyekiti Msekwa aliyesweka kwenye uongozi tena kama "Asante". Kamati ya Maadili, ya kamati kuu taifa- wajumbe wake ni watatu, Andrea Chenge, Pindi Chana nk. Tutegemee miiko ya uongozi? Ile kamati kuu iliyojaa watu walioko kwenye orodha ya ufisadi? Labda wakavunje kwanza kamati kuu wafanye uchaguzi upya.

CHADEMA imekuchua sera gani hizo toka Ujerumani? Lini?

Tuambie basi uyajuayo kuhusu wapinzani, kubenea, Mwandosya, Mwakyembe nk- inaonyesha, unachofikiria hukisemi na unachokisema hukifikirii. Gembe, embe gendaeka! Hiiiii hihhiiii Hiiiii!

Inaelekea unamfahamu Ridhwan, hebu tueleze ukweli bathiiiiiiiii
 

Riziwani ameukwaa hata U NEC.Sijuia aliupata kisa ni mtoto wa mkuu ama ndiyo mapesa yenyewe haya .Unajua hapa naona kuna madai na sasa penye maneno kama haya JF ndipo huwa wanachukua point kwa kuja wazi na habari za nyuma ya pazia .Wacha tuone .
 
Hodi jamani,
Kama kuna vijana wasafi wa maadili na wasio na makuu,basi huyu kijana Ridhiwani ni miongoni mwao.Kwa bahati nzuri nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa nyendo za watoto wa vigogo,lakini huyu ameonekana msafi.Labda wana JF mnipe tafsiri hasa ya mtu fisadi.
Ni mimi mgeni wenu kicheche mwandamizi.
 
Yanahusiana na Suala la Ridhwani,Sababu Riz ni mwanachama wa CCM na pia ni kiongozi wa chama cha mapinduzi.na nasisitiza Rishwani hausiki na sual la Deep Green na alikuwa Mwanafunzi pale Mlimani wakati mchakato unaanza.

Ridhwani alimaliza MAsomo yake June Mlimani na alihitimu November na aliaajiriwa baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais. na akaenda kusoma .

Mwafrika wa kike,tuache bla blah

Nimesikitishwa sana na chadema kuonekana chama cha kikabila na pia kuhusishwa kwa ujerumani na chama chenu.Mnatupeleka wapi??


Siwezi kukubali kueleta ukoloni tena katika nchi yetu!Msiwahadae watanzania
 

Karibu, karibu, karibu!

Mpaka jamvini

Usafi wa maadili ndio kitu gani? maadili yapi? Ya fedha au ya ngono? Mimi nilimuani sana kwamba hana tuhuma za rushwa, ila MWANAHALISI ya leo imenifanya nihoji

Kutokuwa na makuu ndio nini?

Kwa hiyo ni MSAFI kiasi kwamba unaunga mkono awe Rais wa baadae wa Tanzania? Niliweka orodha hapa nilimtaja na wakina Zitto, Kitila, Mwanakijiji kama mmoja wao atakuja kuwa Rais, je anastahili kuwepo?

Asha
 

anzisha thread ya kuwa chadema ni chama cha kidini au ni chama cha kijerumani? mbona unataka kuanza ubishi pasipo?
 

Gembe jamani. Hebu tueleze CHADEMA inahusishwa vipi na ujerumani? wapi? mpaka sasa hujasema kitu bado.

Mbona nilikuwa nakutana na Ridhwan wakati ule akizunguka kwenye kura za maoni mikoani?

Kwa hiyo unasema kabisa kuwa hakushiriki kabisa katika heka heka za uchaguzi 2005 wala hakwenda IMMA kabla?

Hebu tueleze ukweli jamani, unaficha nini?

Asha
 

Gembe kuna mahali umelalia .Umekuwa mchangiaji sana hapa lakini sijawahi kukuona unaguswa hadi unatishia namna hii kusema CCM taifa kubwa .Wamepiga kubaya nini Mzee.Hebu pamoja na yote taja huo uoz wa CCM ambao umakufanya useme CCM ni Taifa na Riziwani ni msafi anapakaziwa hadi unataka kulia hapa .Kama huwezi acha kulia lia na kutishia kusema siku moja viongozi .Utakuwa unayaka kusema marudio maana FMES alisha sema kwamba viongozi wote wa Upinzani wanachukua pesa yao CCM labda ulikuw amgeni .Sema na wewe tusikie umeambiwa nini .
 

Gembe na Kasheshe

Nipeni majibu ya maswali hayo bathiiii, moja baada ya lingine. Nataka nirejeshe imani ya kijana. Niliwahi kumtaja siku nyingi huko nyuma kwamba namuona kama mmoja wa vijana wanaoweza kuwa marais wa Tanzania siku za usoni. Habari ya leo imenishangaza

Asha
 

maswali yote anatakiwa kujibu Ridhwani,

Kusema ukweli nimekatishwa tamaa na wapinzani,Hawna jipya..Yaani wameniskitisha kuhsindwa katika jimbo la kiteto,wameksosa nini au Wamerogwa??na kuwasiadia mbinu zote wakashindwa

yaani this is too much na inaonesha aukilaza wao nitaendelea kukata nondo kama kawa ila kwa hili mmenihuzinisha sana,mmenisikasiisha sana.sasa mtashinda wapi??

Mie nitatetea yote mazuri,nina mapenzi na Chadema kama chama ila sina mapenzi na viongozi wake sababu wanakipeleka chama mahali tusipopatarajia,
 



mwenye majibu ya maswali haya ni wewe ambaye umeconclude kwenye header kuwa RIDHWANI ni fisadi sasa kama unataka kujenga argument then nadhani ni vizuri ukayajibu maswali yako na kuonyesha ushahidi wa kusupport hizo arguments zenyewe
 



RIDHWANI hana cha kujibu

mwenye kujibu hayo maswali ni ASHA ABDALLAH tena kazi yake uitakuwa rahisi sana kama huo ushahidi anao
 

wewe muda wote kuanzia ubadili jina kuwa Gembe ulikuwa unafake tu kuwa unatetea ufisadi na leo your true colors zimekuja nje!

Jibu maswali unayoulizwa na usibadili hii topic kuwa anti-chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…