sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Nikili kuwa kitendo cha January Yusuph Makamba kuwa kwenye Tano bora ilikuwa ni nafasi nzuri sana kwake
Katika hali ya kuandaa Rais mpya nadhaniCCM ingemtazama kijana huyu kwa jicho la pekee.
Sambamba na hayo mimi nilijua Makamba ili aandaliwe alitakiwa kupewa Wizara ya mambo ya nje ili aimarike zaidi kimataifa! Ghafla tukasikia kapewa wizara ya mazingira na muungano hakika wajuaji walisema katupwa huko ili asaulike ingawa imekuwa kinyume chake!
Makamba amegundua kuwa wizara aliyopo haina kutumia jina kwa wingi! Tunayoona anayafanya kwa nia njema ila kwangu naona ni njia za kujitengenezea nafasi to IKULU 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app