Makonda harudi na panya zitachomwa Moto[emoji51]Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"
Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa serious kuyakomesha au kuyadhibiti kwa vile hao panya wa barabarani wanagusa raia wa kawaida na sio viongozi wa serikali au familia za viongozi hao.
Kila mtu ukiwemo wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba haya matukio ya panya wa barabarani miaka 5 iliyopita yani 2016 hadi 2020 au 2021, chini ya uongozi wa raisi Magufuli na mkuu wa mkoa wake Paul Makonda yalikuwa nadra sana kutokea.
Yani yameanza kushamiri zaidi sasa hivi baada ya raisi Magufuli kufariki na mkuu wa mkoa kuwa nje ya mamlaka.
Sasa mpaka hapo ushajua ni nani na nani waliokuwa kiboko ya hao vijana mpaka wakashindwa kufurukuta miaka hiyo.
Cha kufanya kwa sasa ni kuweka siasa pembeni na kumrudisha kijana Makonda haraka iwezekanavyo aje akusaidie kazi ya kurudisha amani, usafi na usalama katika jiji kubwa la Dar es salaam. Otherwise ukidharau utakuja kujuta baadae (2025) maana wananchi hawatokuwa tayari kumpa kura mtu asiejali usalama wa maisha yao, pamoja na mali zao.
Please tunaomba utafakari kabla ya hatari. Bila hivyo utakuja kujilaumu baadae.
Kazi "ya kupambana na panya road" iendelee.
Tulijua kabisa hakuna kitu kinaitwa Panya Road wala nini. Mnavumisha uongo tu kwa maslahi mnayojua nyinyi ikiwemo kumhujum Rais Samia.Cha kufanya kwa sasa ni kuweka siasa pembeni na kumrudisha kijana Makonda haraka iwezekanavyo aje akusaidie kazi ya kurudisha amani, usafi na usalama katika jiji kubwa la Dar es salaam. Otherwise ukidharau utakuja kujuta baadae (2025) maana wananchi hawatokuwa tayari kumpa kura mtu asiejali usalama wa maisha yao, pamoja na mali zao.
Please tunaomba utafakari kabla ya hatari. Bila hivyo utakuja kujilaumu baadae.
Kwaiyo tanganyika kote makonda ndio kiongozi bora? Umetumia mbinu yakijinga sanaaRaisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"
Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa serious kuyakomesha au kuyadhibiti kwa vile hao panya wa barabarani wanagusa raia wa kawaida na sio viongozi wa serikali au familia za viongozi hao.
Kila mtu ukiwemo wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba haya matukio ya panya wa barabarani miaka 5 iliyopita yani 2016 hadi 2020 au 2021, chini ya uongozi wa raisi Magufuli na mkuu wa mkoa wake Paul Makonda yalikuwa nadra sana kutokea.
Yani yameanza kushamiri zaidi sasa hivi baada ya raisi Magufuli kufariki na mkuu wa mkoa kuwa nje ya mamlaka.
Sasa mpaka hapo ushajua ni nani na nani waliokuwa kiboko ya hao vijana mpaka wakashindwa kufurukuta miaka hiyo.
Cha kufanya kwa sasa ni kuweka siasa pembeni na kumrudisha kijana Makonda haraka iwezekanavyo aje akusaidie kazi ya kurudisha amani, usafi na usalama katika jiji kubwa la Dar es salaam. Otherwise ukidharau utakuja kujuta baadae (2025) maana wananchi hawatokuwa tayari kumpa kura mtu asiejali usalama wa maisha yao, pamoja na mali zao.
Please tunaomba utafakari kabla ya hatari. Bila hivyo utakuja kujilaumu baadae.
Kazi "ya kupambana na panya road" iendelee.
Wanaume wengi wanakataa mimba, na wanawake wengi wanalea watoto katika mazingira ya shida, watoto wao wanaolelewa katika mazingira magumu. Hapa lazima panya road waongezeke.
Siungi mkono panya road lakini tumejitakia wenyewe. Unaondoa wafanyabiasha barabarani ambao serikali ilikusanya elfu 20 zao na kuwatupa kusikoeleweka wakati tuliambiwa wanapangwa vizuri!Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"
Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa serious kuyakomesha au kuyadhibiti kwa vile hao panya wa barabarani wanagusa raia wa kawaida na sio viongozi wa serikali au familia za viongozi hao.
Kila mtu ukiwemo wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba haya matukio ya panya wa barabarani miaka 5 iliyopita yani 2016 hadi 2020 au 2021, chini ya uongozi wa raisi Magufuli na mkuu wa mkoa wake Paul Makonda yalikuwa nadra sana kutokea.
Yani yameanza kushamiri zaidi sasa hivi baada ya raisi Magufuli kufariki na mkuu wa mkoa kuwa nje ya mamlaka.
Sasa mpaka hapo ushajua ni nani na nani waliokuwa kiboko ya hao vijana mpaka wakashindwa kufurukuta miaka hiyo.
Cha kufanya kwa sasa ni kuweka siasa pembeni na kumrudisha kijana Makonda haraka iwezekanavyo aje akusaidie kazi ya kurudisha amani, usafi na usalama katika jiji kubwa la Dar es salaam. Otherwise ukidharau utakuja kujuta baadae (2025) maana wananchi hawatokuwa tayari kumpa kura mtu asiejali usalama wa maisha yao, pamoja na mali zao.
Please tunaomba utafakari kabla ya hatari. Bila hivyo utakuja kujilaumu baadae.
Kazi "ya kupambana na panya road" iendelee.
Vyombo viko kazini Mzee,tulia.Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"
Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa serious kuyakomesha au kuyadhibiti kwa vile hao panya wa barabarani wanagusa raia wa kawaida na sio viongozi wa serikali au familia za viongozi hao.
Kila mtu ukiwemo wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba haya matukio ya panya wa barabarani miaka 5 iliyopita yani 2016 hadi 2020 au 2021, chini ya uongozi wa raisi Magufuli na mkuu wa mkoa wake Paul Makonda yalikuwa nadra sana kutokea.
Yani yameanza kushamiri zaidi sasa hivi baada ya raisi Magufuli kufariki na mkuu wa mkoa kuwa nje ya mamlaka.
Sasa mpaka hapo ushajua ni nani na nani waliokuwa kiboko ya hao vijana mpaka wakashindwa kufurukuta miaka hiyo.
Cha kufanya kwa sasa ni kuweka siasa pembeni na kumrudisha kijana Makonda haraka iwezekanavyo aje akusaidie kazi ya kurudisha amani, usafi na usalama katika jiji kubwa la Dar es salaam. Otherwise ukidharau utakuja kujuta baadae (2025) maana wananchi hawatokuwa tayari kumpa kura mtu asiejali usalama wa maisha yao, pamoja na mali zao.
Please tunaomba utafakari kabla ya hatari. Bila hivyo utakuja kujilaumu baadae.
Kazi "ya kupambana na panya road" iendelee.
Mmmmh hapo kumpigia Debe PM ndo nimekushangaaRaisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua"
Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa serious kuyakomesha au kuyadhibiti kwa vile hao panya wa barabarani wanagusa raia wa kawaida na sio viongozi wa serikali au familia za viongozi hao.
Kila mtu ukiwemo wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba haya matukio ya panya wa barabarani miaka 5 iliyopita yani 2016 hadi 2020 au 2021, chini ya uongozi wa raisi Magufuli na mkuu wa mkoa wake Paul Makonda yalikuwa nadra sana kutokea.
Yani yameanza kushamiri zaidi sasa hivi baada ya raisi Magufuli kufariki na mkuu wa mkoa kuwa nje ya mamlaka.
Sasa mpaka hapo ushajua ni nani na nani waliokuwa kiboko ya hao vijana mpaka wakashindwa kufurukuta miaka hiyo.
Cha kufanya kwa sasa ni kuweka siasa pembeni na kumrudisha kijana Makonda haraka iwezekanavyo aje akusaidie kazi ya kurudisha amani, usafi na usalama katika jiji kubwa la Dar es salaam. Otherwise ukidharau utakuja kujuta baadae (2025) maana wananchi hawatokuwa tayari kumpa kura mtu asiejali usalama wa maisha yao, pamoja na mali zao.
Please tunaomba utafakari kabla ya hatari. Bila hivyo utakuja kujilaumu baadae.
Kazi "ya kupambana na panya road" iendelee.
Vyeti ni makaratasi tu,we need performance, idiot!Daudi Albert Bashite, kijana asiye na vyeti, nihatari sana kuongozwa na mtu aliye forge vyeti
Haya siyo mashindano ya kupata mwanaume mwenye msambwanda mkubwa, ni ungozi, unataka elimu na maarifa, ambayo huyo basha wako hana.Vyeti ni makaratasi tu,we need performance, idiot!
Bora ungeacha kuandika huu utumbo bin upuuzi!Kila mtu ukiwemo wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba haya matukio ya panya wa barabarani miaka 5 iliyopita yani 2016 hadi 2020 au 2021, chini ya uongozi wa raisi Magufuli na mkuu wa mkoa wake Paul Makonda yalikuwa nadra sana kutokea.
Umejaza ugoro kichwani.Tulijua kabisa hakuna kitu kinaitwa Panya Road wala nini. Mnavumisha uongo tu kwa maslahi mnayojua nyinyi ikiwemo kumhujum Rais Samia.
Kila anayekuja analeta nyimbo z Makonda.
Vyombo is watching you.
Mna creat chaos kwa jamii kwa propaganda za Panya road wasiokuwepo.
Kama ni uhuni wakabaji Dar walikuwepo, wapo na watakuwepo ktl miji yoote duniani hasa ya maskini.
Mbona mnataka kulifanya kama jambo jipya?