Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnachekesha sana
 
Mkuu drone hazina spidi kubwa! Pia ni muhimu kujua jinsi rada inavyofanya kazi...
 
Uwezo wa spidi ya mwanga!!! Tuwe makini kuchangia..
 
Afadhali.....umeandika ilivyo
 

Ukawa = usawa.
Huko shule ulienda kusomea ujinga?
 

Ndugu yangu. Kulingana na nadharia ya Relativity ya Albert Einstein (na ukweli unaokubalika na wanasayansi wote) hakuna kitu kinachoweza kuwa na spidi zaidi ya mwanga. Ile kutengeneza kitu kinachoweza kufikia spidi ya mwanga tu ni kama vile haiwezekani kwa sababu ukikaribia kufikia spidi ya mwanga hicho kitu kitakuwa na infinite mass na utahitaji infinite energy pia kuweza kuendelea kukisukuma. Tukifikia hapa tunaanza kuongelea mambo ya time travel, time warping, wormhole...mambo ambayo kwa sasa bado ni science fiction tu.

Hapo juu umetia sana mubaalagha mkuu kuhusu spidi ya hizo ballistic missile za Warusi [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Nadhani utakuwa umechanganya na speed ya sauti na si mwanga Mkuu. So far hakuna kitu chenye speed Kali kwasasa kuushinda mwanga. Kama vingekuwepo basi binadamu tungekuwa tushazitembelea sayari zote kwenye solar system yetu.
 
SENSOR zipo za aina nyingi lakini nizijuazo mm ni hizi hapo

1.SONAR= hii inafanya kazi ya kudetect sauti tu
2.LIDAR=hii inadetect leser light.
3.RADAR=hii inadetect light (β€’long-wavelength microwaves (e.g., 3 – 25 cm) through the atmosphere and then recording the amount of energy back-scattered from the terrain )

SASA NGOJA TUIZUNGUMZIE RADAR ULIYOIULIZA WEWE.

kuna vitu vingi huwa vinazingatiwa ili radar iweze kudetect drone/ndege

1.Light emmited by drone
rangi ya drone kama inatoa miale ya mwanga kwa maana ya kuabsorb light au kureflect light kama ina absorb haitaweza kuonekana kwa uraisi coz rada ina fanya kazi ya kutafsiri kile kinachoingia
2.Angle ya radar namna ilivyotegwa
depression angle lazima iwe nyuzi 45 na kuendelea cozi ikiwa nyuzi 0 huwezi kuona drone, kuna namna radar ikitegwa ile miale ya mwanga kutoka kwa drone haifiki kwenye radar na kupotea hivyo radar inakuwa haijadetect kitu
3.Height kutoka kwenye radar mpka kwenye drone
kadili umbali unapoongezeka kutoka kwenye radar mpka kwenye drone na ndio uwezo wa radar unapungua kutafsili hiyo object, miale mingi inapotea angani hivyo haifiki kwenye radar ili itafsiliwe.
4.smooth and rough of drone
drone ikiwa na body smooth ni ngumu kuwa detected coz zile light zikipiga kwenye drone zinakuwa passed away but zikiwa rough zinapiga na kurud kwenye radar na kutafsiliwa

 
System ya mawasiliano ya ulizi toka kila nchi inatolewa kwa nchi nyingine baada ya nchi hiyo kugundua mfumo mwingie wenye uwezo zaidi ya ule wa awali

Haingii akili nchi ikafanya system mpya na kuitoa mapema kabla ya kupata nyingine mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope ni zaidi ya sound sio light mana hiyo silaha ndani ya dk inapiga nyc

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli kukimbia spidi zaidi ya sound hana maana ya distance.Missile yaweza kimbia zaidi ya sound lakini uwezo wake wa distance ya kupiga ukawa kilomita elfu moja tu
 
Mwanga una speed kali sana naamini ni ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
Russia walitangaza Wana silaha inayokwepa kila kikwazo angani na ardhini ,cjawaskia tena ila wamekuja na hiyo speed kuliko mwanga [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Radar detection depends on altitude, size and physical properties of a target. Compare an aeroplane and a drone with respect to the above three facts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…