Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

Teknolojia inapogunduliwa kuna watu wao kazi yao ni kuiovertake hiyo Teknolojia.Kwa hiyo Teknolojia ya Anga ndio inafanya Rada kufeli.High speed drones pia uwezo wa rada unatakiwa kuwa up to date.Pia anae controll rada anaweza kupitiwa na Usingizi au K-vant inamuathiri.Pia Drone za sasa zina uwezo wa kupiga tokea mbali na rada na kufikisha target yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
 
Hahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
Nimemshangaa sana huyo jamaa anaesema speed zaidi ya mwanga, hivi anaijua 3×10^8 m/s au anatania uyo kiumbe. Em arudi vidudu

Distributed Denial-of-Service
 
Inategemea nchi na nchi,nchi Kama Iraq haina air defence nzuri,ziliharibiwa enzi za Vita vya kumtoa saddamu,
 

Umenena vema mkuu. All in all its based on technology so they need updates all the time
 
Mbio kuliko mwanga😲😲😲 ama hiyo ndio time machine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…