Je Putin ananza kujitanua?

Tuliza mshono kuu.Leta huja mkuu sio matusi
Tuliza shanga dada,mbona umekua mkali kama vile umekatiwa shanga na konda?

Mzingueni Putin the great,muone kama hajaweka makombora hapo cuba fasta tu mpk lile wigi la babako Trump limvuke kichwani.
 
Teh teh mkuu mchina uchumi wake umeshikiliwa na wageni amini na kwambi asilia 75% ya viwanda vilivyopo china ni vya wageni
sio data sahihi mkuu japo kiasi fran wageni wanaviwanda lkn haizidi ata 20%
 
UMESAHAU NA HII, NDIO WALIOSABABISHA MARADHI YA UKIMWI DUNIANI ILI KUUWA WATU, NDIO WALIOUWA WATU WENGI IRAQ, LIBYA NA AFGHANISTAN, NDIO WALIOUWA MAELFU YA WATU JAPAN NA VIETNAM
 
China ameanza kukua baada ya kuluhusu ubepali kwenye mfumo wake wa kiuchumi baada ya kuona ukomnisti unawarudisha nyuma so tunapata picha baada ya trump kupiga marufuku bisha kutoka china Viwanda vya Wamarekani vinafungwa china na kurudisha marekani ndo mana mchina anapiga mayowe.kuhusu swala la irani.irani sio tishio kwa U.S Iran saizi yake saudia na Israel
 
Unadhani kwa nn mchina ana lialia kutokana na sela za trump.anajua kwasababu bidhaa zita doda hatimaye wawekazaji kurudisha viwanda U.S.mfano Apple na huko Detroit viwanda vya magari vina fufuliwa upya
sio data sahihi mkuu japo kiasi fran wageni wanaviwanda lkn haizidi ata 20%
 
pote ni sahihi lkn apo size ya iran ni usrael na saudia sio kweli ata kidogo hasa kijeshi na teknolojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…