[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Serikali ya Amerika itakuwa ina undugu na Lucifer. Kwani hiyo hali ya Venezuela kiuchumi aliyeisababisha ni nani kama si yeye? Nchi haina chakula kabisa, raia wa Venezuela wanashinda njaa kama nchi ipo kwenye vita. Venezuela ina utajiri mkubwa kabisa, utajiri wa mafuta na utajiri wa madini. Kuna ripoti moja ya Marekani ya mwaka 1993, jiolojia wa Amerika walienda kufanya tafiti Venezuela. Tafiti ikatoka kwamba Venezuela ina utajiri wa madini mengi kwa kiasi chake.
Amerika kama kawaida yake akautaka huo utajiri Venezuela akakaza. Amerika akajaribu mpaka njia za mapinduzi akashindwa. Akafanya ya kwake ndiyo haya yaliyotokea. Nchi ina utajiri wa mafuta mengi na madini mengi halafu unaambiwa kuna baa la njaa. Kuna kumbukumbu moja niliisoma kuhusu Mzungu mmoja miaka ya zamani sana hapa Tanzania na sijui huyo mzungu alikuwa ni raia wa wapi. Aliwekeza Shinyanga huko kwenye mgodi na aliwapenda wafanyakazi wake. Laa haulaa! Hao Wazayuni wanaomiliki biashara ya madini huko Mataifa makubwa wakamtaka jamaa awauzie mgodi, jamaa akakaza. Kilichotokea maduka yote yanayofanya biashara ya madini yakatonywa yasinunue madini ya jamaa. Yaani madini yanakosa soko hayanunuliwi lakini ni ya kwake tu. Mwisho wa siku alifilisika na akafa.
Ila matikiti maji kama kawaida yao yatakuja hapa na kuandika kilochoua uchumi wa Venezuela ni ujamaa kama western media zinavyokazia. Serikali ya Marekani kwa hapo ilipofikia inabidi iambiwe basi, uliyoyafanya unabidi ukae kimya sasa.
Kwani urafiki wa Russia na Venezuala umeanza leo mkuu?.BTW walikuwa wapi wakati nchi inaharibika?
Gongo itanichoma maini Kiongozi, nachukua asali hapa ni tiba si unajua.agiza gongo ntalipa
Taifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa Putin
Hilo lidege ni kubwa so haliwezi kuzipiga hizo ndege labda kupigwahata mimi nilitaka kuuliza,na hizo f16 ina maana zilienda mpaka venezuela?,zingezilipua angani si ingekuwa big loss kwa russia?fafanua vizuri.
sasa hata kama zungekuwa zinaenda kwake unahisi wangefanya nini? maana navyojua mm lzm sukho zilikuwa zinafatilia game
Mkuu acheni kutujaza liniWarusi ni viburi huwa wanawafanyia watu udukuzi then wakimaliza wanajionesha alafu wanasepa zao ata us walishawai kufanyiwa kitu kama hicho then wakatumiwa video nyambizi ikisepa
Mkuu kwa hii picha yako unataka kumaanisha bwana Putin ana umri wa zaidi ya miaka 100???Putin Is Immortal will reign forever.Utakufa utamuacha!!
View attachment 965181
trump kwa putin ni mtoto mdogo sana,wao ndio wamemweka madarakani,na wana uwezo wa kumuua wakitaka,,,
china na urusi apo kila mtu ana malengo yake wote kwa pamoja wanamuona us kama adui yao so lazima waungane china anataka kuwa na jeshi imara coz uchumi yupi vzr pia urusi anamtumia china ili kukuza uchumi wake maana kijeshi tayari yupo vzr
Tatizo hizo namba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]HAPO LOGIC IPO ZAIDI KWENYE UIMARA WA PUTIN
labda hazikuwepo kweli lkn Tu zinakuwaga na back up ya fighter jet sasa kama hazikuwepo basi palikuwa na namna nyingine ya kuzilinda coz najua urusi wasingeruhusu Tu zao kukamatwa na norway ata kwa nusu saaMkuu kwan unadhani Norway walijuaje kwamba hizo ndege zipo angan? Sembuse kujua izo sokhoi
Mtazamo wako hauendani kabisa na wamarekani wengi waliompigia kura Clinton, ukitoa ile college votes ya wachache.Ingia CNN uone mtazamo wa wananchi wa Marekani.
Mtazamo wako hauendani kabisa na wamarekani wengi waliompigia kura Clinton, ukitoa ile college votes ya wachache.Ingia CNN uone mtazamo wa wananchi wa Marekani.
Urusi sio super power kijeshi, They do not have Money, huko kujitanua unakoona anafanya urusi hagharamii yeye analipwa, mataifa machache sana yanaweza kununua mabavu ya urusi.Wewe na mimi si wakuihoji Russia.Hatuna akili kubwa kuliko Russia tunajidanganya.Putin anaona mbali sana.Hata siku moja China hawezi kuwa tishio kwa USA wewe.Tishio pekee kwa USA ni Russia.Wamarekani wanalijua hilo kitambo saaana.Wanajaribu siku zote kuidhoofisha Russia kwa vikwazo lakini bado wanashindwa.Hatuijui Russia,lakini USA anaijua Russia vizuri.Anazijua nguvu za Russia.
Hakika.Umenena mkuu.Ni mara nyingi tuu ndege za Russia zinazifukuzia meli za kivita za USA kwa kupita karibu mno na meli hizo kitendo ambacho USA kulalamikalabda hazikuwepo kweli lkn Tu zinakuwaga na back up ya fighter jet sasa kama hazikuwepo basi palikuwa na namna nyingine ya kuzilinda coz najua urusi wasingeruhusu Tu zao kukamatwa na norway ata kwa nusu saa
ili teknolojia yao isiibiwe kingine inaonekana urusi haikutoa taarifa ya kuwa hizo Tu zitapita norway sasa nikujiamini gan huko
swala la nyambizi za urusi kuwa zinaonekana zikiondoka pwani ya usa sio cha kubishana urusi huwa wanazitisha ata meli za us kwenye maji ya kimataifa kwa kuzipitishia fighter jet pembeni alafu zikiwa chini sana (nenda you tube usibitishe mkuu)
Afu marekani watakuwa wame zubaa mdaa wote huo utani wakuuRussia sio putin kumbuka pale uraisi ni taasisi jeshi la urusi ni bora toka zamani pia aliebuni S-200 sio alieunda S-400 atakuja mwingine kuendeleza putin alipoishia na naona kijeshi tayari wapo vzr so naihisi atakaefata atakuwa mwanadiplomasia kazi yake itakuwa ni kurudisha ushawishi wa urusi tena(kituambacho putin ameanza kukufanya) then wanaweza kumalizia na mfanyabiashara