Death,old age, and it will be end of Russian era!
Kuna Putin's kama 50 hivi wako wanaivishwa jikoni kusubiri muda wao ufike waendeleze mema ya Putin the Great.Urusi ni Putin na Putin ni Urusi.Siku Putin akifariki au kuzeeka Urusi kwisha habari yake.One man Show!
Urusi ni Putin na Putin ni Urusi.Siku Putin akifariki au kuzeeka Urusi kwisha habari yake.One man Show!
immortal ndio mtu wa aina gan?Putin Is Immortal will reign forever.Utakufa utamuacha!!
View attachment 965181
Mauti haimpatiimmortal ndio mtu wa aina gan?
sawa lMauti haimpati
safi sana putin. Wataiti hivyo hivyo. Tumewachoka. wamemuua sadam bila hatia, wamemuua ghadafi, syria huko wamevuruga, Bongo hapa wanataka kuleta habari zao za kizushi eti haki za binadamKatika kile kinachoonekana mazoezi ya pamoja kati ya Venezuela na Russia,Putin amezituma Tu-160 strategic bombers kwa ajili ya kazi hiyo.Madege hayo yaliyokuwa yakifuatiliwa na ndege vita za Norway F-16 yalivuka bahari ya Atlantic yakisafiri umbali wa kilomita 10000 pasipo kufanyiwa refueling na kifanikiwa kutua Caracas Venezuela salama kabisa.Madege hayo yana uwezo wa kubeba vichwa vya nuklia.YANGU MACHO NA MASIKIO.View attachment 964314View attachment 964315View attachment 964316
ahahahaha. Putin ni hatari sana.Akitoka huko akapige zoezi pale CUBA uone mzee wa Wigi atavyopaniki.
nafikiri Russia tuna urafiki nao tangu enzi za zamani. Na kwa Jembe Magufuri najua atabase sana kwa russia kuliko USA. Urafiki wa kimarekani ni wa kinafiki sanaTaifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa Putin
trump kwa putin ni mtoto mdogo sana,wao ndio wamemweka madarakani,na wana uwezo wa kumuua wakitaka,,,Ninaamini sana kwamba, Baada ya President Trump kumaliza Trade deals na Japani, EU, na wachina atakuwa pia amekamilisha hidden agenda yake ya kuwakwaza wachina kufikia ambitions zao za kuwa Military Super Power ataishangaza Dunia kwa atakachomfanya Putin.