hata mimi nilitaka kuuliza,na hizo f16 ina maana zilienda mpaka venezuela?,zingezilipua angani si ingekuwa big loss kwa russia?fafanua vizuri.hizo f-16 zilikuwa zinazifalia Tu-160 kama ndege za adui au rafiki ?
kwa na hizo Tu-160 huwa zinaruka bila kuwa na usaidizi wa ndege vita za russia?
wamezifanyia upgrading,na wanataka kutoa toleo jipya la kisasa la'strategic bomber'la tu-160..Hii midege ni ya zaman ,lkn mpaka leo inawapa kiweewe Wamagharibi.
Kutoka Russia mpaka Venezuela bila refueling yoyote angani, ni sehem ya Kujionyesha umwamba
Nahisi Norway alifikiri labda hizo ndege zilikuwa zinaelekea kwake,kwa hiyo akaamua kuzituma F-18 zake kwa ajili ya kuzifuatilia hizo T-160 zilizokuwa zikielekea Venezuela.Akaja kugundua kumbe zilikuwa na safari zake,kwa hiyo akaachana nazo.hata mimi nilitaka kuuliza,na hizo f16 ina maana zilienda mpaka venezuela?,zingezilipua angani si ingekuwa big loss kwa russia?fafanua vizuri.
imefanya nifikilie jinsi pentagon walivyoshangaa kuona inavyochanja anga maelfu ya kilometa bila shida yotote na jinsi wavyouchukulia huu urafiki wa vena na hyu genius putinKitu inaweza ikabeba vichwa vya makombora ya nuclear,hii sentensi unaionaje boss?
sasa hata kama zungekuwa zinaenda kwake unahisi wangefanya nini? maana navyojua mm lzm sukho zilikuwa zinafatilia gameNahisi Norway alifikiri labda hizo ndege zilikuwa zinaelekea kwake,kwa hiyo akaamua kuzituma F-18 zake kwa ajili ya kuzifuatilia hizo T-160 zilizokuwa zikielekea Venezuela.Akaja kugundua kumbe zilikuwa na safari zake,kwa hiyo akaachana nazo.
eti mkuu ww umeonaje hili game
Hili game si la kispoti spoti.Unakumbuka nyambizi moja ya Russia ilionekana kwenye fukwe za bahari ya nchi mojawapo ya Scandinavia kama sikosei Sweden.Cha ajabu jamaa walitumia zana zao zote kuitafuta ili waipate mara baada ya kuishitukia lakini hawakuiona tena.Ni kama mwaka na kitu hivi hili tukio lilibamba saana.Haaahaaaa.Sipati picha Norway angefanyaje kama yale Madudu yangekuwa yanaelekea kwake.eti mkuu ww umeonaje hili game
Warusi ni viburi huwa wanawafanyia watu udukuzi then wakimaliza wanajionesha alafu wanasepa zao ata us walishawai kufanyiwa kitu kama hicho then wakatumiwa video nyambizi ikisepaHili game si la kispoti spoti.Unakumbuka nyambizi moja ya Russia ilionekana kwenye fukwe za bahari ya nchi mojawapo ya Scandinavia kama sikosei Sweden.Cha ajabu jamaa walitumia zana zao zote kuitafuta ili waipate mara baada ya kuishitukia lakini hawakuiona tena.Ni kama mwaka na kitu hivi hili tukio lilibamba saana.Haaahaaaa.Sipati picha Norway angefanyaje kama yale Madudu yangekuwa yanaelekea kwake.
Warusi ni viburi huwa wanawafanyia watu udukuzi then wakimaliza wanajionesha alafu wanasepa zao ata us walishawai kufanyiwa kitu kama hicho then wakatumiwa video nyambizi ikisepa








.Kwa hiyo wanazishambulia zana zao kwa kuzidukua ili kuharibu mfumo wa mawasiliano?.













hata sielewi huwa wanawafanyia nn.Kwa hiyo wanazishambulia zana zao kwa kuzidukua ili kuharibu mfumo wa mawasiliano?.
![]()