Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
kumbuka china ni mkopi teknolojia alafu now ameamishia nguvu kubwa africaUnadhani kwa nn mchina ana lialia kutokana na sela za trump.anajua kwasababu bidhaa zita doda hatimaye wawekazaji kurudisha viwanda U.S.mfano Apple na huko Detroit viwanda vya magari vina fufuliwa upya
UMESAHAU NA HII, NDIO WALIOSABABISHA MARADHI YA UKIMWI DUNIANI ILI KUUWA WATU, NDIO WALIOUWA WATU WENGI IRAQ, LIBYA NA AFGHANISTAN, NDIO WALIOUWA MAELFU YA WATU JAPAN NA VIETNAM
Akitoka huko akapige zoezi pale CUBA uone mzee wa Wigi atavyopaniki.
pote ni sahihi lkn apo size ya iran ni usrael na saudia sio kweli ata kidogo hasa kijeshi na teknolojia
Hahahahhaaaa eti awe gavana [emoji23][emoji23]unadhani jiwe atafurahi kuuachia uraisi alafu awe gavana thubutu
long live putin
Hahah Trump mkuu.Mzee wa wigi ni john au?
Kajitahidi saaana.Kwa sasa anarudi vizuri zaidi.Tayari anazijua mbinu zao za vikwazo na yeye anajua namna ya kuepukana navyo.Ndo nakwambije mkuu Russian ni loser kwa sababu kama ameshindwa kumaintain uchumi wake ndo ataweza kurudisha wamajiran.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuliza shanga dada,mbona umekua mkali kama vile umekatiwa shanga na konda?
Mzingueni Putin the great,muone kama hajaweka makombora hapo cuba fasta tu mpk lile wigi la babako Trump limvuke kichwani.
Hayo mayowe yanapigwa pande zote mbili mkuuChina ameanza kukua baada ya kuluhusu ubepali kwenye mfumo wake wa kiuchumi baada ya kuona ukomnisti unawarudisha nyuma so tunapata picha baada ya trump kupiga marufuku bisha kutoka china Viwanda vya Wamarekani vinafungwa china na kurudisha marekani ndo mana mchina anapiga mayowe.kuhusu swala la irani.irani sio tishio kwa U.S Iran saizi yake saudia na Israel