M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,838
- 20,986
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni mungu, umenitoa jalalani.....
Uchawa at it's peak.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni mungu, umenitoa jalalani.....
Taasisi hiyo siyo walimu wala polisi hawajawahi kuwa chawa wa serikali taaluma zao wanasema niulinzi tosha kazini hawataki kujipendekezaJe, Professor anaweza Kuwa Chawa?
Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia?
Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana?
Ahsanteni sana 🐼