Je, Profesa Assad aongezewe ulinzi?

Kuna umuhimu kwa wabunge wetu angalau kuwa graduate maana wapo shallow supstair
 

Kwani wale wasomi waliomo mle huwa wanakuwa tofauti na hao wa stud 7? Mimi nadhani issue kinda ni chama, mtu anatakiwa kutoa maoni kufuata maelekezo


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Anzidha siredi yako k.enge wewe
 
Ulinzi wa aina gani,wakati wanaume wakijani bungeni walishamyangaya mkoba wa U CAG?
Walichofanya ni kumuaribu kisaikologia kwa kumkataa kufanya kazi nae.
Tena wamesubiri amewakirisha report yake kwa Rais Magu,ndio wakaaribu defence mechanism za ubongo wake.Labda Raisi amuonee huruma kwa kumpa kazi ya ubalozi.
 
Unayemtuhumu ndiye anatakiwa kumpa ulinzi! Mawazo yako huwa siyaelewi
 
Ili suala linatakiwa kufunguliwa Thread yake sio ya kuacha ivi ivi. Umenikumbusha vitu vingi Sana. Ule ujenzi kuna magogo mengi yataondoka sana pale. Bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mungu tu ndie anaemlinda CAG wetu kwa sasa.
WanaCCM wengi wa hii Awamu wanahamu ya huyu Mzee aokotwe kwenye kiroba.
Ivi tulishawahi kujiuliza mawakili kama kina Peter Kibatala na kina Jebra Kambole na wengine wanalindwa na nani? Na wanafanya mambo ya hatari hata ya Prof. Assaad madogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anaamini katika Mungu na ndio anayemlinda na ndio maana huwa anasimama katika ukweli,yeye ndie aliyetoa kauli ya Bunge NI dhaifu na akaendelea kuisimamia kauli yake hata mbele ya "izrael watoa roho" hakuikataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naamini humfahamu Prof Assad,aliotufundisha UDSM tunamjua vizuri sana ndio maana hata alipoitwa na Kamati ya Maadili bado alisimamia msimamo wake,unadhani alikuwa hajui nini kitafuata? Ogopa sana mtu anaemcha Mungu kwa dhati na akiwa Msomi wa kiwango cha Prof Assad,sidhani kama hata anahitaji hizo teuzi za Ubalozi!
 
Haki tena, hii ni aibu kabisa......embu kuwa muungwana basi, jitaidi kuficha NYETI ZAKO ZA UBONGO hata kwa kukaa kimya tu.

"Muungwana akivuliwa nguo, uchutama...."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Red guard wa bavicha si mpo? Mlindeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…