likengengema
Member
- Mar 10, 2015
- 39
- 5
'Amani haiji ila kwa ncha ya upanga'. Hawa jamaa tunaambiwa walikuwa katika harakati za kufanya ujambazi huko Mbagala na yalikuwa ni mapambano kati ya polisi na majambazi. Ninadhani kwako wewe polisi ua raia mwema kuwawa ni jambo jema kuliko jambazi. 'Dawa ya moto ni moto'