Je, Polisi wakiua ni sawa?

Je, Polisi wakiua ni sawa?

Rutashobolwa, what does the law say? Ukikutana na jambazi even if he surrenders, should you kill him? Nijibu? Rule of law should operate always!
1. Hivi mtu aliyebeba silaha kwa nia ovu unajiridhisha vipi kuwa huyu tayari ka sarenda na hii sarenda yeke sio mtego???!!!
2. Kuna vitu vingine ni kama sumu "utaijua" wakati au imekudhuru wewe au mwingine. . . . . . .
 
kwani silaha wanazopewa askari nizakuwindia nguchiro?
acheni ushabiki maana bila polisi nchi isinge kalika...
hawa jamaa waacheni wafanye kazi zao

asante mkuu, mpe shule kidogo mtoa mada kwann askari anapewa silaha, mazingira yapi atumie namna gani.
 
hili ndio tatizo la kuishi nchi masikini iliyojaa wajinga wengi. mharifu ana haki ya kuhukumiwa mahakamani na sio mikononi mwa polisi. na tanzania ukiuwawa na polisi alaf polisi wakisema alikua jambazi au gaidi wanajua wazi wananchi ni wapumba.vu hawata fuatilia. pamoja na mauaji ya wale wafanyabiashara wakati wa zombe bado watu hawajifunzi kua polisi hawako perfect hivyo wanaweza kuua watu kinakosa. siku wakiuwa ndugu zenu ndipo mtajifunza.

1. Hama bhana usilete kubana pua hapa. . . . . . . "perfect" unaitumia kuangalia polisi tu au binadamu kwa ujumla wake??!!!
2. Kila kada ina watu waovu mmoja mmoja ila hao wasitumike kuhukumu wema waliopo kwa kada hiyo. . . . . . mchezo wa silaha kusudio lake ni kutishia, kujeruhi au kuua sasa majambazi wamegeuza hiyo wao wanaua wakikosea wanajeruhi kutishia "hawana". . . . . .

We ukisikia tetesi kuna hali inayoashiria matumizi ya silaha ondoka tu mzee, watalia ndugu zako na kulalamika na hutarudi wala malalamiko yao hayatasaidia. . . . . . .Habari hii waambie na wengine. . . .
 
asante mkuu, mpe shule kidogo mtoa mada kwann askari anapewa silaha, mazingira yapi atumie namna gani.

Hivi kukishakuwa na sintofahamu na kurushiana risasi za moto "mazingira" gani tena yanazungumziwa hapo??!!!
 
mbona jana asubuhi mlikua mnasema kova ana danganya kumbe kazi ilifanyika na nikweli majambazi wamekamatwa 5 hao walio kufa ni wa 3 kwa maana walikua 8 au hivi vyanzo vetu vya habari navyo havieleweki
 
Hivi kukishakuwa na sintofahamu na kurushiana risasi za moto "mazingira" gani tena yanazungumziwa hapo??!!!

hicho ni kitu ambacho mtoa mada haelewi..anafikiri labda polisi waliwakuta wale majambazi kibarazani wanapiga story..haelewi kama kulikuwa na sintofaham
 
hicho ni kitu ambacho mtoa mada haelewi..anafikiri labda polisi waliwakuta wale majambazi kibarazani wanapiga story..haelewi kama kulikuwa na sintofaham

Ajabu sana mtu anasema anataka kula keki nzuri akiambiwa idadi ya mayai yatayotumika anaanza kusema bora hayo mayai yangeanguliwa apate vifaranga. . . . . . .wanataka amani watu wakiingia mzigoni zinaanza kelele. . . . . .wakikabwa yanaanza matusi kwa Polisi. . . .
 
Aliyeandika hii thread ni jambazi

watz bana tatizo kweli serikalin kuna mijambaz koma lkn inalindwa na polisi lkn hao vibaka tu ambao hata hatuna uhakika kama kweli walikuwa majambaz wanauwawa kirahisi
 
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.

Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.

Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.

Umetumwa? Kama na ww ni mmoja wao, bora uache ujambazi, na watakufuatilia.
 
watz bana tatizo kweli serikalin kuna mijambaz koma lkn inalindwa na polisi lkn hao vibaka tu ambao hata hatuna uhakika kama kweli walikuwa majambaz wanauwawa kirahisi

We unataka uhakika upi uamini walikua si jambazi???
silaha walizokuwa nazo zilikua za nini???
Kwanini walikua wanakimbia huku wakirushiana risasi na polisi???
 
watz bana tatizo kweli serikalin kuna mijambaz koma lkn inalindwa na polisi lkn hao vibaka tu ambao hata hatuna uhakika kama kweli walikuwa majambaz wanauwawa kirahisi

Ukiwaona hao majambazi wakiwa na silaha peleka taarifa polisi fasta wako vijana saafi kwa hiyo shughuli 24/7. . . . Kama ni habari ya rushwa peleke PCCB mkuu

Ila ukicheza na chuma mbele ya jeshi unakula chuma fasta tu. . . . .kaseme the Hague kqbisa sio hapa tu
 
Huyu aliyeandika hii thread akifatiliwa vizuri, tunaweza kupata hata silaha zilizosalia. Anahusika tu huyu kwa vyovyote na mauaji ya polisi na uporaji silaha.
 
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.

Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.

Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.

Mtuhumiwa anapofatwa na polisi na anapoambiwa ajisalimishe kwa hiari yake bila kupambana hatashambuliwa LAKINI pindi atakapochukua Silaha yeyote hata fimbo na kuwashambulia POLISI hapo polisi wana haki ya kumdhibiti mtuhumiwa...

Sasa fikiria hawa jamaa walivamia kituo cha polisi na kuua then wakakimbia walipokutwa na kuambiwa wajisalimishe wakakaidi unafkiri kitakachotokea ni nini?

Some times try to use your common sense meeen...!
 
Huyu aliyeandika hii thread akifatiliwa vizuri, tunaweza kupata hata silaha zilizosalia. Anahusika tu huyu kwa vyovyote na mauaji ya polisi na uporaji silaha.

Kweli kabisa! Na wako humu wamfuatilie kwa kina huyu ni mmojawao....anaona kifo kinamnyemelea anakuja kuleta utetezi humu
 
Kweli kabisa! Na wako humu wamfuatilie kwa kina huyu ni mmojawao....anaona kifo kinamnyemelea anakuja kuleta utetezi humu

kweli hii inchi inaendeshwa kimagumashi sana
 
Aliyekudanganya polisi hana sababu ya kuua mwambie hakupendi. . . . .na kama unataka kufa kirahisi kabisa tafuta silaha kafanye mchezo na polisi

hata raia tuna haki ya kuua...kama ilivyo kwa police...
 
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.

Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.

Pia tuseme tu kuwa inaonekana walifanya makusudi kulipiza kisasi na visasi haviishi.

Sio polisi hata wewe unaruhusiwa Kuua inategemea tu na mazingara ya tukio
Mfano watu wamekuvamia kwako na silaha kwa lengo la kukutoa uhai lazima ujitetee uhai wako ikiwezekana uutoe wa kwao ili kujihami, ndio maana tunaruhusiwa kumiliki silaha unadhani ni za urembo tu!!! Teh! Teh! Teh! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Back
Top Bottom