Je, Polisi wakiua ni sawa?

Je, Polisi wakiua ni sawa?

Alafu kuwa makini na unachopost watu bado wanamajonzi na wahusika hawajapatikana wote
 
Kuwa objective! hata kama ni gaidi wa kutupwa, as long as amesurrender, huna ruhusu ya kumuua. Sawa walivamia kituo na kuua, lakini walipokwenda kuwakamata wakanyanyua mikono juu! Why kill them? Polisi imekuwa mahakama kutoa hukumu
 
Taarifa ni kwamba police wakijihami baada ya kuwacmamisha jamaa na kukaidi then wakaanza kurusha risasi asa cjui uklitaka police waendelee kukodoa macho
 
na vp aliyeuwawa jana kama alikuwa nduguyo mtu ni mtu awe askari au mpiga debe kila mmoja ana dhaman kwenye familia yake na taifa pia

Kuuawa kwa majambazi imekuuma je kuuawa kwa polisi inaonekana ulifurahia. Piga picha ingekuwa imekutokea wewe katika tukio la stakishari jee ungejisikiaje
 
Kuuawa kwa majambazi imekuuma je kuuawa kwa polisi inaonekana ulifurahia. Piga picha ingekuwa imekutokea wewe katika tukio la stakishari jee ungejisikiaje

swala sio jambazi swala hapa ni raia wa tz
 
hili ndio tatizo la kuishi nchi masikini iliyojaa wajinga wengi. mharifu ana haki ya kuhukumiwa mahakamani na sio mikononi mwa polisi. na tanzania ukiuwawa na polisi alaf polisi wakisema alikua jambazi au gaidi wanajua wazi wananchi ni wapumba.vu hawata fuatilia. pamoja na mauaji ya wale wafanyabiashara wakati wa zombe bado watu hawajifunzi kua polisi hawako perfect hivyo wanaweza kuua watu kinakosa. siku wakiuwa ndugu zenu ndipo mtajifunza.
 
asante mkuu
 
Yan mwanangu akiwa na akil km za mleta mada namuulia mbali!!hana faida ktk jamii!!sembuse jambaz au gaid??em vuta picha yule mama alieuwawa pale angekua ni mkeo??kosa lake nin!!kwenda kituoni??mcjifanye mnajua haki za binadam wakati housegirl wako mshahara wake tu unamlipa kwa zengwe!!bouyer wewe!!
 
Inaonekana majambazi yaliyouawa jana,limoja ni shemeji yako.
 
Hivi majambazi kuuwa polisi ni sawa? Hivi unajua hao unao walilia waliuwawa kwenye mazingira gani? Hivi unajua walio uwawa walikuwa wana pambana na askari tena kwa silaha? Hivi umeshindwa kujiuliza kwanini wengine hawakuuwawa kama hao?
Hivi mtu anaye rusha risasi unataka na yeye arushiwe karanga? Hivi ungekuwa polisi mtu anaye kurushia risasi wewe unge fanya nini?
Hata kama ni ndugu yako wacha atandikwe risasi kama kaamua kuingia kwenye vikundi vya uhalifu hayo ndio matunda yake!

Mnacho takiwa kufanya ni kukaa na ndugu au wadogo zenu kuwaeleza wazi kuwa uhalifu haulipi watakufa tena kwa kutandikwa risasi maana hawatovumiliwa watu wanao hatarisha amani za raia wema!

Mimi nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kuwadhibiti hawa na kuwauwa maana bila hivyo wange wauwa wao..!
Hivyo tukae na ndugu zetu tuwambie kuwa ujambazi haulipi watakufa Kabisa na watamalizwa!

Ukiona nduguyo anajiingiza kwenye ujambazi ujue umeshindwa kutimiza wajibu wako anza kulia kabisa maana hatovumiliwa atauliwa tuu...!

Hongera sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri!

Rutashobolwa, what does the law say? Ukikutana na jambazi even if he surrenders, should you kill him? Nijibu? Rule of law should operate always!
 
Rutashobolwa, what does the law say? Ukikutana na jambazi even if he surrenders, should you kill him? Nijibu? Rule of law should operate always!
Hawa walio uwawa hawaku surrender walikuwa wanapambana na askari kwa kurusha risasi? walio surrender hawakuuuwawa ndio maa kuna watano wamekamatwa bila kuuwawa!
 
kwani silaha wanazopewa askari nizakuwindia nguchiro?
acheni ushabiki maana bila polisi nchi isinge kalika...
hawa jamaa waacheni wafanye kazi zao
 
Sikupenda kutamka chochote hapa kwenye hii thread lakini naona nikinyamaza stalala na amani leo. Najiuliza, hivi, kama jambazi likinivania leo humu ndani ya nyumba yangu, mimi nina ka silaha kangu, Sime tuu. Nimtishie kwa kelele kuwa nina sime nakukata au nimvizie huko huko gizani nimkate shingo yake afe??
Polisi, wamedokezwa kuwa hawa jamaa wana vya moto. Wamewaambia mikono juu, jamaa kaamsha. Hivyo tunataka polisi wakajifiche ili majambazi yakimbie ati kwa sababu askari polisi haruhusiwi kuua?? Hiyo bunduki aliichukua 'amare' kwenda kuionesha wahalifu kuwa polisi wanazo silaha??
Jamani, Hakuna polisi mwenye kiu ya kuua, njiani waliwapita watu wengi tu, wangewamaliza. Jambazi, hana roho ya utu, ameshavaa roho nyingine kabisa, haogopi kumwua mtu asiye na silaha acha polisi mwenye silaha. Kama akiisha kukamatwa, Polisi, msimpige wala kumwua. Lakini akiwa bado na silaha yake, msimwache. Alichokuwa amekusudia moyoni mwake kumtenda mwingine, kama kilikuwa chema, mpeni.
Wito, kila raia, ajitahidi kujitafutia chake mwenyewe kwa njia halali, wala si kuua wengine, ili nawe usiuawe. Big up sana Polisi. Fanyeni kazi yenu kwa weledi tu.
Mtu ambaye hajawahi kuvamiwa na majambazi, si rahisi kuyajua magumu yaliyo wapata wengine. Usiombe kupatwa na mkasa huo, haswa mbele ya familia yako weye mwanaume
 
wewe ----- kweli unatetea majambazi?!
Nani alaani wakat wale ni waharifu?

Kumbe una ndg zako wezi?

mi nafikiri lazima kutakuwa na sheria inayomruhusu askari kuua kwenye mazingira fulani..ndio maana wanaoua makusudi au bahati mbaya wanashtakiwa..wataalam wa sheria watusaidie hapa tafadhali
 
kila idara iachiwe kazi yake ifanye hapo tutafika lkn kwa.mwendo huu hakuna kitu

Risasi inaweza safiri mita (wastan 300-500 kwa sekunde. . . .kadirio) kwa hiyo unapoambiwa jambazi wa silaha ni hatari basi fikiria mtu anayeweza kukutoa uhai wako(UHAI WA POLISI) ndani ya sekunde tu. . . .

Kitu kipo ndio maana unaandika. . . . . .
 
Kuwa objective! hata kama ni gaidi wa kutupwa, as long as amesurrender, huna ruhusu ya kumuua. Sawa walivamia kituo na kuua, lakini walipokwenda kuwakamata wakanyanyua mikono juu! Why kill them? Polisi imekuwa mahakama kutoa hukumu

una hakika walinyanyua mikono juu? ulikuwepo eneo la tukio?
 
Back
Top Bottom