Je, Polepole kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli.

Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati alikuwa akitia kitumbua cha wenzake mchanga?

Je, japo kuteka ni mchezo wa CCM, inakuwaje wanapoanza kutekana hata kuuana wenyewe? Je, kwa ukondoo wetu, kama Polepole atauawa, kuna lolote la maana litatokea au mambo yataishia hapo?

Je, kwanini serikali yetu sikivu na 'inayojali utu' imeshikwa na kigugumizi? Je, kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

Je, nani watafaidika na kuondolewa Polepole? Je, Polepole alikuwa anajua hatari ya mambo aliyokuwa akifichua?
 
Kilamkitu kiko plan one down another man rise hakua pekee yake ile ni movement ya wazalendo toka ccm na nje ya ccm saa ya ukomboz inakuja sio muda hizi ni mbegu za ukomboz zinapangwa
 
Kila nikikumbuka stori ya mwangwi na agata namuonea huruma slow slow huko alipo saivi namna wanambagaza.
 
Bagaimana cara menghubungi Call Center Batik Air
_
Untuk Bantuan(+6282335469434) call Center batik air refund dan reschedule hubungi cs batik air di (+6282335469434)
 
Hatujawahi kushughudia utawala too low hapa Tz kama wa huyu mama, yaani uwezo wake mdg halafu anataka kila mja amsifie tuu!
 
Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli.

Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati alikuwa akitia kitumbua cha wenzake mchanga?

Je, japo kuteka ni mchezo wa CCM, inakuwaje wanapoanza kutekana hata kuuana wenyewe? Je, kwa ukondoo wetu, kama Polepole atauawa, kuna lolote la maana litatokea au mambo yataishia hapo?

Je, kwanini serikali yetu sikivu na 'inayojali utu' imeshikwa na kigugumizi? Je, kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

Je, nani watafaidika na kuondolewa Polepole? Je, Polepole alikuwa anajua hatari ya mambo aliyokuwa akifichua?
Katekwa na Mafwele, Abdul na kundi lao sasa inategemea wametumwa na serikali, CCM, wana mtandao au Samia personally?
 
Back
Top Bottom