Je picha hii ya mkutano wa CHADEMA inatueleza nini?

Je picha hii ya mkutano wa CHADEMA inatueleza nini?

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,974
chadema.jpg


Ndugu hebu toeni maoni yenu au mnaionage hii picha , Ikoje au ina maelezo gani
 
It's so simple, inakueleza kuwa CHADEMA ni mpango wa Mungu
 
Chadema tulianza na mungu na tunamaliza na Mungu...na majibu ya Mungu ni...October
 
Hapo ni dua ya upande waislam ilikuwa inaendele.
Yamkini ya upande wa mwingine ilishapita au walisubiri ipite kwanza hiyo.Aumwenzetu ulitakaje sababu nyie wadada wa Baikoko mnakuaga mnamaneno sana.:confused2::confused2:
 
Serikali haina dini sasa mbona rais wa 2015 wa sudan ajanyanyua mikono katutenga sio? Ametusahau tulichomfanyia 2010 ametaka ndoa akubali kulala bila pichu asituletee upadre hapa.
 
Sisi tuna MUNGU wao wana pesa!!
October ushindi ni LAZIMA!!!
 
Picha inatuonesha jinsi kila binadamu anavyofahamu uwepo wa Mungu katika dunia hii
 
Matunguli na ccm wakati Mungu na CHADEMA.
 
Fisi+tunguri = anguko kuu october
 
Back
Top Bottom