Je, Paul Makonda anatosha kurithi kiti cha Dkt. Bashiru CCM?

wewe upo wizara gani mkuu?
 
Magufuli anajutia kwa nini alifikia kumwamini Makonda kiasi kile. Bashiru ndiye alikuwa mtu wa kwanza kutamka kidiplomasia kuwa Makonda na Chalamila, hawafai kuwa viongozi. Na sasa Bashiru ndiye mshauri na msaidizi mkuu wa Rais.

Makonda asifikirie uongozi, ajiajiri tu.
 
Mtu anaacha kuongoza watu zaidi ya milioni sita anaenda gombea kuongoza watu milioni moja unamuona timamu hiyo?
 
Covid ongeza speed plz plz nasema ongeza speed tunazurumiwa huku wanyonge
 
.....anapenda "wasomi"......
 
Atakuwa Makonda kakutuma
 
Kama anajua kusoma na kuandika anatosha
 
Raia asiye na Kazi.Nyota yake imekufa kibudu huyo alishanyea mkono umpao riziki kwisha habari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…