Je, Paul Makonda anatosha kurithi kiti cha Dkt. Bashiru CCM?

Najua Wapinzani hawatafurahia swali hili lakini chini ya jua lolote linawezekana.

Nawaona komredi Polepole na ndugu Makonda wakipiga jalamba kurithi mikoba ya Dr Bashiru aliyehamia Ikulu kama Katibu mkuu kiongozi.

Kwa mbali namuona Dkt. Mwigullu Nchemba naye anatroti.

Ufipa kaeni chonjo msiyempenda anaweza kuja.

Maendeleo hayana vyama!
Daah sijuhi nawaza nini lakini mara paap Bashite anakuwa Katibu wa ccm au anachukua nafasi ya H. Pole pole...
 
Back
Top Bottom