Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,118
- 4,783
Mbona panya wa ulaya hawakimbii mnaangaliana face to face kama wanalipa kodi.
Mbwa na paka wanapatana, etc etc
Mbwa na paka wanapatana, etc etc
Tena wa kijuha kabisa... Kijipu kidogo tu cha kalioni kisichopona kinasawazisha mambo murua kabisaUnataka kutuambia mtu mwenyewe ulinzi mkali Kama malaika Mkuu ana roho ya uharibifu?,
Ni kwa vile paka wa kule wanashiba vinonoMbona panya wa ulaya hawakimbii mnaangaliana face to face kama wanalipa kodi.
Mbwa na paka wanapatana, etc etc
🙁🙁😀😀Tena wa kijuha kabisa... Kijipu kidogo tu cha kalioni kisichopona kinasawazisha mambo murua kabisa
Mbu Ni mdogo kuliko panya lakini ananipelekesha sanaHuo mtazamo wako tu, kama mfano paka ni 3% ya binadamu je inzi ni% ngapi na bado wanadunda tu bila wasi hata gizani!