GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,451
- 127,626
- Thread starter
- #41
Haha asante dada yangu ni ile siku tunaongelea kumatch mavazi ,nimemaliza tu kukujibu nashangaa naambiwa nina Ban sijui nimefanya name calling ,popoma pamoja na madhambi yake hana roho mbaya ya kuniripoti
Nashukuru Kwa Kulijua Hilo Mkuu. Mimi Nina Roho Ya KITAJIRI Sana Na Laiti Members Wote Humu WANGEKUWA WAVUMILIVU KAMA MIMI Wala Hizo BAN Zisingekuwepo. Utashangaa Yaani Mtu Hata HUJAMPIGA YEYE DONGO Tayari Anawahi KUKURIPOTI.