Nyarwadhnyarwath
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 1,157
- 586
Baada ya kulipiza kisasi, utapata faida gani? Kisasi huzaa kisasi na kuna siku nawe utatamani ungemrudishia hela zake.
Pili, kwa mazingira hayo unalipiza kisasi kwa mamake ambaye wala hajui kilichotokea kati yenu. Je, huyu mama akifa kwa kukosa hizo hela, utajiona ulifanya la maana au vipi? Tafakari.