Je, nitumie uungwana au na mimi nilipize kisasi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Kuna Kijana Mmoja Mwezi Uliopita Tu KASABABISHA DEMU WANGU KUNIACHA Baada Ya JAMAA KUGONGANA Na Mimi Lodge Nikitoka KUFANYA MAPENZI NA " MCHEPUKO " Wangu Ambapo Kumbe ALINIREKODI Wakati Natoka Chumbani Na Yule Demu Bila Mimi KUSHTUKA Kisha Akamtumia DEMU Wangu Na Niliporudi Tu Ghetto " KIKANUKA " Na Demu KUNIAMBIA Kuwa HANITAKI Tena Na Sasa Tumeshaachana Na NILIHUZUNIKA Na Bado Hadi Sasa NAHUZUNIKA Lakini DEMU Kasema HARUDI TENA.

Katika Chunguza Yangu Baadae Nikaja Kugundua Kuwa Kumbe Yule Jamaa Sasa Ndiyo " ANAMBANDUA " Huyo X Wangu Na Imefikia Kipindi Hadi Jamaa ANATAMBA Kwa MASELA Kitaani Kuwa AMENIACHANISHA NA DEMU WANGU NA SASA ANATEMBEA NAE Na Maneno Mengine Kibao Ya SHOMBO Dhidi Yangu.

Sasa Ndugu Zanguni Muda Si Mrefu Nimemwona Jamaa AMEPITA Hapa Kitaani Akiwa Na Mgonjwa Katika Gari Na Inasemekana Kuwa Ni Mama Yake MZAZI Anaumwa Sana Na Yupo Hoi Na Sijui Jamaa KACHANGANYIKIWA au La Kwani Kuna HELA Kama Shilingi MILIONI TATU ( 3 ) Hivi Katuma Katika Namba Yangu Na Hata Mimi Nimeshangaa Na Sasa Hivi ANANIPIGIA SIMU HUKU AKILIA Kuwa Alikosea Kwani Alikuwa Anamtumia Mtu Mwingine Ili AWAHI Pale Agha Khan Hospital Kuweka Mazingira Na Madaktari Kabla Yeye ( Wao Na Mgonjwa ) Hawajafika Hivyo Anaomba NIMRUDISHIE Hizo Pesa.

Sasa Nawaombeni USHAURI Wenu Ndugu Zangu Je NIWE MUUNGWANA KWA HUYU JAMAA Na AMBAYE SASA HIVI ANATEMBEA NA ALIYEKUWA DEMU WANGU NA NIMRUDISHIE HIZI HELA au NA MIMI NILIPE KISASI HAPA HAPA? Naumia Mno Kwani AMENIDHALILISHA SANA Halafu Kibaya Zaidi Kila Siku ANANISEMEA Mbaya Kwa MASELA KITAANI.

Nitaangalia Hapa MICHANGO Yenu Mingi Na Hata Yeye Nimeshamwambia Kuwa NAWAULIZA MARAFIKI Zangu Wa JAMII FORUMS Hivyo Na Yeye Aingie Kisha Awe ANAFUATILIA Majibu Ambapo Kama Nikiona Posts Nyingi Zinasema NIWE MUUNGWANA NIMRUDISHIE NITAFANYA HIVYO LAKINI NIKIONA Posts Nyingi ZINASEMA NILIPIZE KISASI BASI HIZI HELA SITAMRUDISHIA Hivyo Kuanzia Sasa Hivi Nasubiria Responses Zenu MEMBERS ILI Nifanye MAAMUZI Na Yeye Pia Nimemwambia Tuwe Tunahesabu Wote Posts Zenu ILI Mwisho Wa Siku Nifanye MAAMUZI.

Karibuni Sana Marafiki Zangu Wote Na NAWAHAKIKISHIENI KUWA NITAYAHESHIMU MAJIBU YENU AMBAPO MKISEMA NIZIRUDISHE NITAFANYA HIVYO NA MKISEMA NIZILE NAPO NITAFANYA HIVYO. Akhsanteni ILA Sitaki Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, kadoda11, mshana Jr, Copenhagen DN Na miss chagga Wachangie UZI Wangu Huu Kwani Najua Tu WATANICHANGANYA Hivyo Wakae Zao Tu Kimya Ili Members Waliobaki Ambao Ndiyo Naona Wana HEKIMA Kushinda Wao WACHANGIE.
 
Kumbe na wewe ni popoma namna hii?
(Japo najua hii ni chai) ila huo muda wa kuhesabu posts za kura ya ndio au hapana jamaa atapiga simu kwa mtandao husika na kurudishiwa pesa zake. (Hakuna sehemu uliyosema umeshatoa hizo pesa).
Anyways.....asante kwa chai japo ya leo chungu

Nilivyo Na Shida Kama Siyo Dhiki Ya Hela Yaani Mpaka Sasa Hivi Niwe Bado Sijazitoa Tu! Nimerogwa au? Kwa Taarifa Yako PESA Zote Ninazo Na Nimezitolea Hapa Sinza OIL Com Sheli Na Nimezihifadhi. Tena Ukiendelea KUNITIBUA Nitapandisha HASIRA ZANGU KALI Za KINYARWANDA Na Nisimrudishie Kabisa. Si Unanijua Lakini Kuwa Mtutsi Mimi Kubadilika au Kufanya Maamuzi Magumu Kwangu Ni Dakika Moko Tu?
 
Nilivyo Na Shida Kama Siyo Dhiki Ya Hela Yaani Mpaka Sasa Hivi Niwe Bado Sijazitoa Tu! Nimerogwa au? Kwa Taarifa Yako PESA Zote Ninazo Na Nimezitolea Hapa Sinza OIL Com Sheli Na Nimezihifadhi. Tena Ukiendelea KUNITIBUA Nitapandisha HASIRA ZANGU KALI Za KINYARWANDA Na Nisimrudishie Kabisa. Si Unanijua Lakini Kuwa Mtutsi Mimi Kubadilika au Kufanya Maamuzi Magumu Kwangu Ni Dakika Moko Tu?

!
!
Anaweza akakufunga tu bure. Mrudishie tu hela yake. Hiyo ni sawa na kukuta hela kwenye akaunti yako ambayo hujui imetoka wapi na imekujajekujaje wewe ukaidraw ukaitumia. Kwa hiyo we mrudishie tu.
 
Maumivu aliyokupa hajatalingana Na unayompa kama ikitokea mzazi wake akapata shida kubwa atakusahau milele Na atakuheshimu daima maana malipo ya duniani ndiyo yanavyokuwa maumivu kuliko uliyemtendea kwa wale wanaoamini malipo ni hapa hapa diniani wanajua
 

Naanza Kuhesabu Sasa Kwako. Moja Hii Tayari Na Natumai Jamaa Nae Sasa Anaweka Rekodi Zake Sawa Sawa. Ngoja Tusubiri Ni Michango Ya Members Wengine Ili Mwishoni Nifanye " MJUMUISHO " Na Nitoe MAAMUZI.
 
Maumivu aliyokupa hajatalingana Na unayompa kama ikitokea mzazi wake akapata shida kubwa atakusahau milele Na atakuheshimu daima maana malipo ya duniani ndiyo yanavyokuwa maumivu kuliko uliyemtendea kwa wale wanaoamini malipo ni hapa hapa diniani wanajua

Akhsante Baba ASKOFU. Ngoja Nijifikirie Japo Hujanipa POLE Ya Jamaa KUNIHARIBIA MAHUSIANO Yangu Lakini UNASISITIZA Tu Mimi Niwe Na Moyo Wa IMANI Kwake. Hivi Unajua Inavyouma KUFITINIWA JUU YA MPENZI WAKO HALAFU ALIYEKUFITINI TENA UKAMJUA? Baba ASKOFU Tubu Dhambi Zako Za Upendeleo Kwa Mwenyezi Mungu. Nimeumia Mno!
 
Tukutane baa gani maeneo ya sinza tujadili hii ishu kwa undani zaidi, maana huyu lazima tumlipizie tu, hakuna namna nyingine

Tukutane Hapo " MPANUKO MTAMU BAR " Hiyo Njia Ya Kuelekea Kwa Mwanamboka.
 
Kuna siku ulimtukana huyo jamaa uliyemquote kwa kutumia avatar yake hiyo ya jamaa mwenye ngao na Simba nilicheka sana.

Hata Sikumbuki Na Nimeshasahau. Halafu Kuna Mtu Hapo Juu KAKUFANANISHA Wewe Na MIMI Na Amesema Kuwa Ana UHAKIKA Kuwa ID Yako Ndiyo Hii Pia Ya GENTAMYCINE. Sasa Nasubiri Kwanza Uanze Kumjibu Kwa Kumpa MAKAVU Yake Kisha Mimi Nitakuja Kufunga Kazi!
 
Back
Top Bottom