ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habari mkuu. Nimependa hizi bei alafu niko stage hii. Fundi wa wapi huyu anafanya Mkongo/Mninga kwa 140k per fremu.. Pls niungisheMninga, mkongo, ni mzuri.
Pia sasahivi kuna mtu wa porini unaitwa mpanganga una ranging nyeusi ama kahawia nimzuri pia ngumu na unakubali vanishi.
Fremu za hiyo miti yote ni 140,000/= na top ni 250,000 single na 350,000/= double.