remedy50
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 675
- 289
[emoji23][emoji23][emoji23]PCM wameanza lini kusoma Pharmacy?
[emoji23][emoji23][emoji23]PCM wameanza lini kusoma Pharmacy?
Zote nzuri sana, ila PCM ina options nyingi zaidi huko mbele ya safari, kuliko PCB. Zaidi ni kuwa Biology kwa A-Level ni ngumu sana ukilinganisha na Mathematics, ambayo yenyewe ni rahisi. Kwa hiyo anayechukua PCM ana unafuu mkubwa sana kwenye Mathematics lakini anayechukua PCB ana mzigo mzito sana kwenye Biology, na bado anatakiwa asome Basic Applied Mathematics ambayo nayo mzigo wake unaweza kulingana na nusu au robo tatu ya mzigo wa Pure mathematics ya A-level. Mimi PCB naiogopa na mtu ambaye anadai PCB ni rahisi huwa namuona tu kana genius fulani hivi. Ningekushauri usome PCM mjukuu wangu!Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
sijafanya ushabiki swahiba unisamehe ila nimeongea hali halisiToa ushauri mzuri wewe ni msomi acha ushabiki
wewe ndo mshamba,, mimi nimesoma PCM na nina bach ya PharmPCM wameanza lini kusoma Pharmacy?
usifate mkumbo bro kwa kuchekacheka,, uliza pharmacy wanachukua kwa vigezo gani? HKL bhana mnajifanya mnajua kumbe hovyo tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanachukua kwa vigezo gani?usifate mkumbo bro kwa kuchekacheka,, uliza pharmacy wanachukua kwa vigezo gani? HKL bhana mnajifanya mnajua kumbe hovyo tu.
wewe ndo mshamba,, mimi nimesoma PCM na nina bach ya Pharm
Bro umesoma wapi hiyo Pharmacy ukiwa ni PCM na mimi nataka nikasome..[emoji41]wewe ndo mshamba,, mimi nimesoma PCM na nina bach ya Pharm
fanya uje muhas uulizie bro, [emoji41]Bro umesoma wapi hiyo Pharmacy ukiwa ni PCM na mimi nataka nikasome..[emoji41]
umeshinda bro[emoji38] [emoji38] [emoji38] nimeangalia nimeona wametoa cku hizi, ila sie wa nyuma tulisoma kupitia PCM bro usibishe, ukitaka na vyeti nakuwekea uone,, ila sasa wanataka usome na Bios.[emoji41] [emoji41] [emoji41]Bro umesoma wapi hiyo Pharmacy ukiwa ni PCM na mimi nataka nikasome..[emoji41]
PCM wameanza lini kusoma Pharmacy?
Nimekuelewa mkuu,hivi kuna courses za engineer ambazo pcb anaruhusiwa kuzisoma??
Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
Achana na PCM fanya hiyo PCB kwakuwa ina milango mingi sana ya Fursa hasa kwa jinsi nchi yetu inavyoenda sasa.
Ukitaka kuwa tajiri soma PCM.
Ukitaka uhakika wa ajira kisha uishie kujenga chumba na sebule soma PCB.
Kama hujui kitu uliza...
PCM anaweza kuchukua Pharmacy.
Toka miaka na miaka.
Mie mwenyewe nilitaka nichukue Pharmacy Bugando nikapima mizani nikaona ussenge.
Nilikua addicted zaidi na Computers.
Mambo ya DHCP, VLAN, VPN, FTTH sikutaka yanipite.
Marine engineering ( DMI ) mbona wanachukua PCB mkuuPCB haruhusiwi kabisa kusogeza pua yake kwenye Engineering.
Ukitaka kuwa Engineer hakikisha Advance unasoma Pure Mathematics, na sio BAM (hesabu za Form Two)