Achana na PCM ilisha chuja siku hizi, komaa na PCB usome kozi za afya hutosumbuka sanaa baada ya kuhitimu chuo, TANZANIA tunasoma ili MKONO UENDE KINYWANI, habari za kusoma unacho penda kwa tanzania ZILIPENDWA, tunaangalia wapi mkono utaenda kinywani,Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
PCB upate 1 ukose chuo? Acha chai za mchanamwaka jana kuna wanafunzi wamemaliza form six hasa mchepuo wa PCB wana daraja la kwanza (division one) na daraja la pili (division) na ni wengi sio nakutajia idadi ya watu mia la hasha ni wengi na bado wakakosa vyuoo mpaka mdogo ana daraja la pili lakini yupo nyumbani anangojea mwaka huu apply chuo
kwahiyo wewe soma tuu hamna cha kupata ajira haraka wala nini ukifika wakati wako utajua kwenda na mazingira na kama matabibu wapo wanaohitimu na bado wapo mtaani
hahahahaaa sawa mkuuPCB upate 1 ukose chuo? Acha chai za mchana
ningetamani ukutane japo na kijana alie pata hivyo au ungejaribu kuangali au kuchunguza mwenyewePCB upate 1 ukose chuo? Acha chai za mchana
Signature yako inasema yote. Hapo napenda pia inazidi kuonyesha kuwa upande nuo mwingine ni wa pili katika mapenzi yako. Amua nini unapenda zaidi halafu kamata combi husika. Mengine mengi ni mastori ya town. Wanaongea kuhusu kazi ambazo ni miaka 6 au saba mbeleni-hatuna utaalamu wa kujua itakuaje kwa Tanzania yetu. Kupata chuo pia ni miaka 2/3 ijayo itabidi uamuzi ufanywe muda huo lakini kubwa ni jinsi ya kuchagua koozi na chuo-bahati mbaya wako vijana hawaelewi jinsi ya kulifanya hili kutokana na ufaulu wao, na TCU/NACTE na Vyuo havitoi miongozo mizuri. Hakuna ajabu wa div. 1 na 2 kukosa nafasi hasa ukichukua style ya JPM na Ndali kushauri vijana waombe moja kwa moja vyuo, hii imeumiza wengi.Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?
mkuu mbona mwaka jana walitoa hadi awamu 3 za kuapply vyuo, labda mdogo wako alikua anachagua vyuo na kozi ambazo zilikuwa na competition kubwa , kuna vyuo vingi tu vya private havina watu kabisa na hii imechangia watu kuappl chuo kimoja au viwili kisa wana point nying huku wakisahau vyuo vingne kama reservemwaka jana kuna wanafunzi wamemaliza form six hasa mchepuo wa PCB wana daraja la kwanza (division one) na daraja la pili (division) na ni wengi sio nakutajia idadi ya watu mia la hasha ni wengi na bado wakakosa vyuoo mpaka mdogo ana daraja la pili lakini yupo nyumbani anangojea mwaka huu apply chuo
kwahiyo wewe soma tuu hamna cha kupata ajira haraka wala nini ukifika wakati wako utajua kwenda na mazingira na kama matabibu wapo wanaohitimu na bado wapo mtaani
Kama huna allergy na Maths soma pcm. Angalia sana kwani ni mwendo wa kucheza na numbers" tunahitaji Engineers wa kutosha. Hesabu sio kukariri kama Biology, ni kushusha number na uwe creative
PCM haina deal tena, mtu anasomea ENGINEERING MASOMO MAGUMU, anaenda kwa mhindi anachukua laki mbili kwa mwezi,Engineer mlioopo mmefanya nini cha Maana? karibu PCB, Karibu MD Mdogo wangu
Wewe tu, inategemeana na muono(VISION) yako.Habari zenu, nimeanza kusoma baadhi ya topic za bios kama cytology, biochemistry na respiration, but napenda pia masuala ya umeme, je niendelee na hii Pcb au nichukue Pcm?