Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
ni kw
kuhusu dogo kuchagua vyuo hivyo ni kweli maana yeye hataki tena kusoma vyuo vya watu binafsi anahitaji kusoma chuo cha serikali
ni kweli vyuo vya private vina watu wachache labda,ila inategemea na fani gani wanayo hapo tulikuwa tunajaribu kuangalia fani ya utabibu kwa shahada ya kwanza kiujumlamkuu mbona mwaka jana walitoa hadi awamu 3 za kuapply vyuo, labda mdogo wako alikua anachagua vyuo na kozi ambazo zilikuwa na competition kubwa , kuna vyuo vingi tu vya private havina watu kabisa na hii imechangia watu kuappl chuo kimoja au viwili kisa wana point nying huku wakisahau vyuo vingne kama reserve
kuhusu dogo kuchagua vyuo hivyo ni kweli maana yeye hataki tena kusoma vyuo vya watu binafsi anahitaji kusoma chuo cha serikali